Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo uliugulia maumivu ya mtama na ya kukatwa bila ganzi
Yaap mkuu nlipata tabu sana ,halafu tulitahiriwa porini yani tukiishi kijeshi kinyama kufundishwa ukakamavu na ushupavu
 
Kuna raha yake ya kutahiriwa ukiwa mkubwa, ila adha yake pia ni hatari.

Kulala uchi huku mkuyenge ukipigwa na upepo usiku kucha ni noma aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Maumivu yake sasa nadhani kama ingekuwa kuna. Kurudia mi nisingerudia aisee bora nikae na mkono wa sweta wangu
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa mkubwa kipindi hicho mimi nilikuwa na miaka 9, alipopona kidonda baada ya kutahiriwa akaenda kutest kwenye papuchi ya ng'ombe kama mkuyenge umeimarika kwa kazi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mmmhh
 
Habar za leo wana jukwaa baada ya salaam najielekeza moja kwa moja kweny mada huska nimeileta hii kwenu ili kutujuza wazazi wengi hatujui ni mda au umri gani sahihi kwa kumtahiri mtoto wa kiume pindi anapozaliwa maana kuna wengine wanasema kuwa akitahiriwa mapema sana akiwa mchanga kama ilivokuwa kwa Yesu siku 8 baada ya kuzaliwa kwamba anakuwa na uume mdogo eti anakuwa haujakomaa uume na hivo inapowahi kimtahiri unafanya uume wake usikue tena na kurefuka na kunenepa vizuri .

Pia kuna wengine wanasema kuwa kumtahiri akiwa mkubwa labda baada ya kubarehe anakuwa anapata maumivu makali na makubwa hivo mtoto anumia sana na kuona kama wazazi walikosea wangemutahiri mapema ili aepuke yale maumivu ya kutahiri ukubwani japo inaonekana kwamba ndo vizuri maana uume wake unakuwa umesha kua mkubwa na haitamuadhiri..
Sasa kutokana huuu mkanganyiko nikaona nilete huu uzi ili kuondoa hii sitofahamu iliyoko ktk jamii yetu ya kitanzania hoja na swala la. Msingi ni upi mda au umri sahihi wa kumtahiri mtoto ili aje awe maumbile mazuri aliyopewa au kukusudia na mwenyezi Mungu? "je ni miaka 1 hadi 5 au 5 hadi 10 au 10 hadi 15 au 15 hadi 20???? Ili aje awe mwnaume rijari na kamili awe na nguvu za kiume na uume mbashara.

Wewe mwenyewe ulitahiriwa ukiwa na miaka mingap je mwanao alikuwa na umri gani ..

Mimi nilieleta hii mada nmetahirwa nikiwa mkubwa wa miaka 16

Karibuni sana watalaam mtuelimiishe.. Samahan staweka picha hapa aisee.
akiwa na miaka kumi
 
Kanda ya ziwa tulio wengi tunatahiriwa tukiwa wakubwa ndo maana huwa tuna mashine kubwa kubwa na zenye uwezo wa kutosha!
Aha kumbe sasa kutahiriwa ukiwa mkubwa kuna faida ya kuwa na mkunyenge mkubwa .
 
Chief nakumbuka mimi nimetahiriwa nina miaka 17 nikiwa nimesimama, hosp ya jeshi Kiabakari, nilivyorudi nyumbani sikusema asubuhi nikaamkia shamba niliweza kulima japo walinigundua kwa baadaye sana baada ya kuniona natembea upande upande.
Kwa iyo we hukumshirikisha hta baba ako au akaka ako?
 
Tena haiwezi kutokea ukatahiriwa kabla ya kaka yako au mtahiriwe pamoja. Lazima mkubwa atangulie kwanza.

Na mie ni kwenye kundi hilo hilo la miaka 14, tena baada ya kulazimisha sana.
Hahaha kwani nyie kwenu mlikua hamna tabia ya kuwacheka wale ambao hawajatahiriwa mkiwa mtoni kuoga?? Au we niwa mjin maana hii ipo zaid vijjn
 
Mimi nili kata Nikiw a na miaka 7

Hapo kwenye iyo haya ya pili wenda kukawa na ukwel kidogo mana kwa inapo kuwa mkubwa misur mingi nazan inakuwa imekomaa pia Ata uponaji wake ni wakuchelewa

Lakin Mimi sijuh kwa nn wakinipeleka jando nikiwa ba umri huo sijuh kama ni sahih sure walikosea. Na katika ichunguz usio rasmi weng naona Walio kata mapema wapo wa dogo sana Kuna kitu kama icho kuwa na maumbile ya kawaida but sio wote na sijuh Sababu MI Ipi
 
Back
Top Bottom