Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,115
- 2,231
Sawasawa kabisa mkuu mi pia nimemuuliza swali hilo hilo alijipereka mwenyeww bila kuwataarifu wazazi au ndugu...Ina maana ulijipeleka mwenyewe kutahiriwa kwa siri...?
Endapo usingefanya hivyo, wazazi wasingekupeleka kutahiriwa?
Ulivaa nguo za aina gani baada ya kutahiriwa kiasi kwamba usijulikane mapema, sisi mtu ukishatahiriwa unabaki kuvaa nguo moja tu(shati au t-shirt) halafu unajifunga shuka rubega kama wamasai. Hii inasaidia usitoneshe kidonda na usisababishe joto ambalo ni hatari kwa kidonda.