Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Kuchelewa hadi 15-18 yrs ina faida kimaumbile, japo hasara kiafya. Inayapa maumbile nafasi sahihi ya kukua, then unatahiri.
Kanda ya ziwa ndio utaratibu wao, na ndio wanasifika kwa maumbile makubwa.
 
ushauri wa wengi humu haujazingatia umuhim wa kumuepusha mvulana wako na aibu ya kibamia. stahili ni kuanzia miaka 5. habar ya dini ni mila tu za watu huko waisrael na waarab
 
Kuhusu umri not so sure ila bila shaka miaka mitatu,minne hadi sita ila isizidi kumi sio mbaya coz sisi kipindi hicho tulicheza humo......

What i know binafsi siwezi mtahiri mtoto hospitali yani sijui kushonwa sijui ganzi kwenye hiyo kitu ni BIG NO,niliwahi kupata ajali ya mguu karibu miaka miwili iliyopita nikashonwa ila ile ganzi till now haijapotea ndo iwe huko kwenye hazina kuu kweli? Haya matatizo sijui ya nguvu za kiume sijui na takataka gani huanzia huku....Binafsi sijawahi ona mtu mwenye tatizo la aina hiyo ambaye alipata jando la asili na kama yupo humu atoe ushuhuda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…