Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo uliugulia maumivu ya mtama na ya kukatwa bila ganziMi nakumbuka nimetahiriwa nikiwa darasa la kwanza miaka 8,nlipelekwa porini na wenzangu ilipofika zamu yangu nlipigwa boooonge la mtama nikaenda chini ile kuinuka mkono wa sweta ushakatwa tena bila ganzi dadeki,ila nna kibamia asee ikiwa imelala ,ikisimama inaumuka ka mkate wa supa lofu, so suala la kusema eti ukiwahi unakua na dololo ndogo ni maneno tu ya wabongo kila MTU kaumbwa na dushelele lake