Umri unaenda, nachanganyikiwa

Wewe ulishajipambanua kuwa una danga kwenye five star hotels na maeneo kama hayo so huwezi kuwa na hofu kwakuwa path yako ni tofauti na mleta mada.
 
Mdogo wangu umefika lini 30yo?
 
27yo bado binti mbichi kabisa. Huna cha kuhofia. 27-35 umri mzuri wa kuolewa.
 
29 bila mtoto duh tatizo ilo wewe hufai sasa kubwa zima ivyo hujui ata changamoto za kua na familia wewe hufai.
 
USIOGOPE.
Neno "USIOGOPE" limetajwa mara 365 ndani ya Biblia. Mathalani katika nukuu kutoka waraka wa Tito 2:13 inaeleza Yesu Mungu Mkuu anakwambia usiogope, maana yupo pamoja nawe.

Mwaka mmoja una siku zipatazo 365 idadi sawa na ile ya neno hilo ndani ya maandiko haya matakatifu. Kwa hiyo kama ndivyo hivyo, basi siku zote JIPE MOYO kwani yote utayashinda. Kumbuka usijinenee neno lolote baya kwani Ibilisi atalichukua na kuli "brand" katika maisha yako, na wewe utakuwa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…