Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

No shortcut piga mazoezi sana zunguka uwanja mara 50 asubuh na jion piga pushup 100 kila siku asubuh na jion kunywa maji mengi sana.. kula mboga za majan kwa wingi kula samak kuna matunda kwa wingi.. ndani ya miez 2 hujapona... Rudi tena hapa nin ufanye

Achana na madawa ya kienyeji achana na madaw ya hosp kwa case ndogo kama hyo
 
Kwani lazima ufanye mapenzi mkuu si uache tu
 
Dakika 17-24 ndiyo standard,huyo mwamba ana shida,aende muhimbili kuna kitengo hicho
 
Pole sana zinafanya uwe tegemezi
 
je hili ni tatizo la kuzaliwa au umelipata ukubwani? hebu nijibu hapo nikusaidie
 
Unaweza kujiona una mapungufu kumbe mmezoeana na mwenzi wako kupita kiasi au kutokuwa na maelewano ya pamoja hadi kuathiri fikra zenu mnapokuwa wote, unaweza kwenda pembeni ukajikuta ni bora kabisa ingawa sishauri ujaribu ila hili limewatokea wengi na kusababisha ndoa kuyumba kutokana na kila mmoja kuwa na mpango wa kando bila kujua tatizo mmelitengeneza wenyewe.
 
Hiyo ndio sababu kuu sema anazunguka sana, hizo case ni nyingi sana ss hivi na chanzo kikuu (Punyeto)
Nyeto ukiipiga kikawaida haina uhusiano wa moja kwa moja na upingufu wa nguv za kiume. Unless kama unaipiga kavukavu au isivyo kawaida acheni kupotosha
 
Uwanja nashinwa zunguuka nashida ya goti lapush up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…