Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

Umri wangu ni miaka 37. Sina nguvu za kiume imara, siwezi kurudia round ya pili

No shortcut piga mazoezi sana zunguka uwanja mara 50 asubuh na jion piga pushup 100 kila siku asubuh na jion kunywa maji mengi sana.. kula mboga za majan kwa wingi kula samak kuna matunda kwa wingi.. ndani ya miez 2 hujapona... Rudi tena hapa nin ufanye

Achana na madawa ya kienyeji achana na madaw ya hosp kwa case ndogo kama hyo
 
Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.

Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
Kwani lazima ufanye mapenzi mkuu si uache tu
 
Dakika 5 ni standard wala sio tatizo

Wauza vumbi wamekuja na sera mpya ya kupotosha watu ili dawa zao ziuzike.

Na hii inakuja kupewa nguvu na watu ambao wako kwenye abyss na pornografía.

Wanajifananisha wao na hao ma pornstar na kuona kama wao hawana uwezo kwasababu hao ma pornstar wanaenda beyond.
Dakika 17-24 ndiyo standard,huyo mwamba ana shida,aende muhimbili kuna kitengo hicho
 
Usije ukatumia Viagra. Utajuta.
Juzi Kati nilikwenda Mloganzila kukawa na promoshon ya dawa za kuongeza nguvu almaaruf Zwagra kutoka Yemen. Dogo kaniambia nichukue tani yangu. Mie nikachukua vibox vitatu ndani Kuna vidonge 2. Nikafika home sikumuambia MTU, siku ya kwanza nikabugia kimoja kutest zali. Kweli mchezo ulikua mtam tukifaidi saana. Siku ya pili nikabugia viwili, mchezo ukawa mtamu ajabu karibia nusu saa tunabadilisha staili tu. Nikawa nimenogewa, siku ya tatu nikanywa viwili Mambo yakawa Moto Mara mbili nikaona na mwenzangu hakai mbali Nami, Upendo Mara mbili, vyakula vitamu tamu tu, siku ya nne nikamalizia kale kamoja Mambo yakazidi kunoga.
Sasa bwana, baada ya kuacha matumizi ya vile vidonge, inachukua romance ya nusu saa nzima ndio abdala astuke. Ikawa hivyo kwa muda wa miezi miwili, abdala kichwa wazi hataki majukumu.
Sasa hivi afadhali Hali ya zamani ya kutwa Mara mbili imeanza kurejea.
Sitakaa niguse mkongo au Viagra. Tangawizi, vitunguu saumu na asali Ni dawa tosha.
Pole sana zinafanya uwe tegemezi
 
Habari wakuu kwa miaka karibia 10 Sasa nina shida yakushindwa kurudia tendo round ya pili na hata nilifanikiwa round ya kwanza hiyo nina tumia dakika 5 namaliza na hamu inaisha kabisa hadi baada ya masaa zaid ya 10.

Round ya kwanza uume nikichelewa kuingiza unalala au hata unalala ukiwa ukeni, nini nifanye kuondokana na adha hii inanitesa sana.
je hili ni tatizo la kuzaliwa au umelipata ukubwani? hebu nijibu hapo nikusaidie
 
Unaweza kujiona una mapungufu kumbe mmezoeana na mwenzi wako kupita kiasi au kutokuwa na maelewano ya pamoja hadi kuathiri fikra zenu mnapokuwa wote, unaweza kwenda pembeni ukajikuta ni bora kabisa ingawa sishauri ujaribu ila hili limewatokea wengi na kusababisha ndoa kuyumba kutokana na kila mmoja kuwa na mpango wa kando bila kujua tatizo mmelitengeneza wenyewe.
 
Hiyo ndio sababu kuu sema anazunguka sana, hizo case ni nyingi sana ss hivi na chanzo kikuu (Punyeto)
Nyeto ukiipiga kikawaida haina uhusiano wa moja kwa moja na upingufu wa nguv za kiume. Unless kama unaipiga kavukavu au isivyo kawaida acheni kupotosha
 
No shortcut piga mazoezi sana zunguka uwanja mara 50 asubuh na jion piga pushup 100 kila siku asubuh na jion kunywa maji mengi sana.. kula mboga za majan kwa wingi kula samak kuna matunda kwa wingi.. ndani ya miez 2 hujapona... Rudi tena hapa nin ufanye

Achana na madawa ya kienyeji achana na madaw ya hosp kwa case ndogo kama hyo
Uwanja nashinwa zunguuka nashida ya goti lapush up
 
Back
Top Bottom