UN: Israel inataka watu Milioni 1.1 waondoke Gaza ndani ya Saa 24

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Umoja wa Mataifa (UN) umedai kuwa umejulishwa na Jeshi la Israel kuwa Wakazi wa Gaza Kaskazini wanatakiwa kuwa wameondoka eneo hilo ndani ya Saa 24.

UN imesema jambo hilo ni gumu kutekelezeka kwa kuwa idadi hiyo ni nusu ya watu wote waliopo Gaza.

Israel imekuwa ikijiandaa kwa mashambulizi ya ardhini, kukusanya Wanajeshi, mizinga na vifaru kwenye mpaka wa Gaza na kujibu mashambulizi ya anga kuelekea Gaza kwa siku kadhaa zilizopita wakijibu kile kilichofanywa na Wanamgambo wa Hamas kwa kufanya mashambulizi ya kushtukiza.

######
Israel wants 1.1 million people in north Gaza to leave in next 24 hours - UN

The Israeli military has told the UN that everyone living north of Wadi Gaza should relocate to southern Gaza in the next 24 hours, says a UN spokesperson.
The UN says this amounts to approximately 1.1 million people - about half the population of the entire Gaza Strip.

The affected area includes densely populated Gaza City.
The alert was given just before midnight, Gaza and Jerusalem time (23:00 GMT).

"The United Nations considers it impossible for such a movement to take place without devastating humanitarian consequences," the UN said in a statement.

Israel has been preparing for a ground offensive, gathering soldiers, heavy artillery and tanks on the border of Gaza. It has been launching airstrikes on Gaza since Saturday after Hamas militants' surprise attack on Israel.

Source BBC
 
SWALI SIMPLE: WAONDOKE WAENDE WAPI?
 
Duh si utani.Tatizo la Hao waGaza ni kuwaruhusu Hamas kutumia makazi Yao kama kambi za kijeshi kuishambulia Israeli.Israeli inachofanya sasa ni kuharibu miundombinu ya kijeshi ya Hamas iliyopo Gaza ambayo ipo katikati ya makazi ya Watu.Watu wanaokufa Gaza wanakuwa karibu na maeneo ambayo kuna silaha za Hamas 🤔
 
Picha jeshi la Israel (IDF)

Whats up with the diapers?
IMG_20231013_072004.jpg

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Shida ya magaidi ni kujifichia kwa raia ili kuomba msaada jumuiya za kimataifa.
Huwezi epuka kuua raia wasio na hatia ili kuwamaliza magaidi.
Mrusi asingefanya hivyo ISIS wasingekuwa kuzimu Sasa hivi.
Aliwawahisha kuzimu wakawahi bikira
 
Kutokea Gaza kasikazini kwenda kusini sio mbali kihivyo.Wagaza wanaweza kwenda Hata kwa miguu,ni kama umbali wa kutoka Kariakoo kuelekea kimara ,Mbezi au kibaha Fulani hivi.Wangeanza mdogomdogo kuondoka 🤔
 
Back
Top Bottom