HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Wengi washasepa kuelekea MisriIsrael anaenda kuoccupy South Gaza. Na tatizo ni kwamba hao raia wameanza kuhama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi washasepa kuelekea MisriIsrael anaenda kuoccupy South Gaza. Na tatizo ni kwamba hao raia wameanza kuhama.
Maana ukifatilia sana Israel hawakuwa na sababu ya kuwaondoa bila wao kuumizwa kwanza ili sababu ipatikane.Hata Mimi nahisi aliwaacha ili apate justification. Shida Hamas hawakuliona hilo
Kuna watu mnataarifa kuliko taarifa zenyewe.Walikosea wenyewe kuruhusu Hamas wawaingilie.
Na ndo maana nasema Israel alijua mipango ya Hamas akaamua aiache kama ilivyo
👆👆👆👆👆👆👇👇👇👇👇👇Wakati mwingine unaweza kufikili akili za katibu mkuu wa UN na wasaidizi wake akili zao fyatu kabisa - wakisha ongwa na USA kuipendelea katika suala hili huwambii kitu utasikia kwamba Israel hiko justied - kuna member fulani ilisema mpango mzima unaweza kuwa wa Israel (MOSSAD) kubuni mbinu za aidha kuwauua Wapalestina kwa wingi kwa kisingizio kwamba Israel imevamiwa ghafla hivyo na wao ni lazima wajibu mapigo au walazimishe UN kutafuta sehemu ya kuwahamishia Wapalestina - ya miaka 1940s yanajirudia tena.
Binafsi nina maoni tofauti: kama kweli mpango nzima ulisukwa na Wapalestina wenyewe nanajua vizuri Waisrael watakavyo react kwakitumia air force na ground troops na vifaru, tuliona yaliyo tokea wakati Israel ilipojitia kuivamia Lebanon wakajikuta wanadundwa vibaya sana na wanamgambo wa Hazebbola, vifaru vikateketezwa na Kornet na fighyer planes na SAM za kubeba begani - hata hawa HAMAS watakuwa walijitayarisha kwa muda mrefu jinsi ya ku deal na tishio la Israel la kulipiza kisasi - HAMAS watawashangaza wengi nawambeni, nakubali ni Wapalestina wengi wanaweza kupoteza maisha kwa wingi lakini hata Israel yenyewe hisijiamini sana kwa kidhani HAMAS si lolote si chochote, therefore wanaweza waka hamishwa tu kama kondoo na kupelekwa anywhere - binafsi I don't think so.
Swali lingine ambalo watu hawataki kujiuliza ni je! Ilikuwaje Idadi kubwa ya waliovamia Israel wengi waliishia kufyekwa humohumo Israel na wachache kati yao ndiyo walifanikiwa kurudi Gaza. Hamas waliovamia walikua ni 1,000+,Maana ukifatilia sana Israel hawakuwa na sababu ya kuwaondoa bila wao kuumizwa kwanza ili sababu ipatikane.
Ni sawa na uvamizi wa WTC 11/09
Kwa mujibu wa vyanzo wa uhakika: Egypt iliionya Israel kuwa kuna shambulio linapangwa na Hamas lkn kwa mujibu wa vyanzo hivyo Israel ilipuuza! Binafsi naamini Israel ilijua kila kitachotokea ila iliacha kitokee ili ipate sababu ya kuifuta Palestina.Hata Mimi nahisi aliwaacha ili apate justification. Shida Hamas hawakuliona hilo
Hamas wanaume halisi, waliona mkataba aliosaini Arafati ni wakisenge na hautaawezesha kupaga haki yao. The only way inakayowafanya wapate haki yao ni kuifanya Israel wkose amaniShida ni Hamas Hawa ndio walimuingiza kingi Arafat. Watu wamesign Oslo Accords, halafu wanakuja kuyavunja kijinga.
Ndoto hizo. Hamas ndio kwanza wanapata umaharufu duniani na watakaoanza luchukiwa zaidi ni Israel kwa kushambulia majengo na makazi ya watu wa kawaida. Mpaka sas umeshasikia mpalestina yoyote au waislamu au watu wapenda haki wakiilalamikia Hamas??Hamas ataanza kuchukiwa na raia wa Gaza. Maana kawaingiza kingi.
Hapo kwenye kufyatua watoto na mm nawapongeza Hamas, Kuna gar walimokuwemo wanamgambo wa Hamas lilipolipuliwa maparachichi tele na karanga mbichi yakamwagika barabaranwametoa onyo, anayetaka aondoke, asiyetaka abaki na asimlaumu mtu. tena hamas mafirauni kwelikweli manake nasikia GAZA tu kwa leo, ina wajawazito 60,000 kazi ni kuwafanya wale wanawake mashine za kufyatulia watoto ili waizidi israel idadi. kwa sasa, israel wanachosema wanapanga ni kuwafukuzia kwenye ardhi ya Misri, na misri amejua hilo anazuia wahamiaji wa gaza wasije misri, anasema wabaki hapohapo gaza. mpango wa pili utakuwa kuannex westbank yote ili ardhi yote ile ikaliwe na wayahudi. wakimaliza hapo wataanza na Lebanon na Jordan ambazo zote ni ardhi za wayahudi. there is no going back.
Wanafiki hasa aljazeerahalafu ukiangalia media zote, unasikia "palestinian children and women", ila wanasahau kuwa hata israel kuna children and women ambao wameuawa na hamas mbele ya camera. hamas walifanya ile demonstration kwa video ili dunia nzima ione namna wanavyoua na kutena raia wasio wanajeshi. uzuri israel hawasikilizi, anafanya kile kitakachowasaidia wayahudi, basi.
Mkuu mbona unaongea utadhani kuangamizwa kwa Israel ni kitendo chepesi, eti mahandaki yatafyatua mabomu kwa mpigo. Kwani Israel unafikiri hapokei silaha za maangamizi kutoka kwa washirika wake? Aircraft carriers mbili zipo jirani na Israel kutoka US.Niliuwa sija malizia kuandika wasifuwake wa kijana huyo shupavu simu yangu ikapata tatizo kidogo.
Nikwambie kitu mkuu vita hii ndio itaipati mtihani mkubwa Israel kwa mara ya kwanza, idadi kubwa ya vijana walio kwenda mafunzo ya kijeshi ya kutumia silaha za kisasa watajiungana NA HAMAS kukomesha upuuzi huu, watatoka na Lebanon (Hezibolla hao ndio wenye uzoefu baada ya kifunzwa na Iran, sina shaka na vijana wa Iran watajiunga nao kuwasaidia HAMAS na Iran wana silaha za kisasa balaa, watakuwa wamezichimbia sehemu ambazo satellite za US, Israel na Uingereza hawazioni zinavurumishwa kutoka kwenye mahandika mapema mapema asubuhi na cha ajabi zinapiga miji iliyo lengwa na zinaondoka zote kwa mpigo hii inadhilisha kwamba kijana huyu mwana sayans ni hatari sana, halafu wanasema mipango uake ya kulipoza kisasi kwa Israel anawambia watu wacheche sana tusemi inakuwa siri yake ya moyoni a- raia wa mashariki ya kati waliokwisha choshwa na ujeuri wa Israel wa si kukalia aridhi ya Wapalestina tu bali na kujitaunua zaidi kwa demolish nyumba za Wapaletina with impunity, wanawapigia simu kwamba umepewa saa moja/mbili uwe sivyo uweumekwisha hama kutoka kwenye nyumba nyumba yako la sivyo itabomolewa na special bomb za ndege za Israel na kweli baada ya muda huo unapoteza kila kitu ie nyumba yako inakuwa gofu, uwezi kwenda mahakamani ukasikilizwa.
Ksema kweli Dunia haijawatendea haki Wapalestina, wakisema enough is enough ngoja na sisi tuchukue Plan "B" yakujikomboa,nchi za magharibi na baadhi ya Waswahili hapa kwetu tunawaona as if Wapalestina ni wabaya sana, hawana haki ya kujikomboo kutoka mikononi mwa majahili hawa ambao hawana UTU!!
Hii sio mara ya kwanza kwa Israel na Hamas kupigana ground bettle.Ndio maana kawaambia raia waondoke pale ili wapigane vizuri. Shida ya Hamas wanajichanganya na Raia
miaka ya nyuma wapalestina walikuwa na advantage, walikuwa wakipigwa wanalia na dunia inawaonea huruma, israel wanarudi. lakini baada ya ukatili wa juzi, mataifa mengi yanataka Gaza yote ifumuliwe. kinachofumuliwa pale ni kwamba, kuna mahandaki mengi sana pale gaza, na huko ndio silaha za hamas zimefichwa na hamas wanajificha huko. hata mateka wamewapeleka huko. sasa israel wanataka kufumua na kuharibu mahandaki yote kabisa na kuna uwezekano wakawafukia na hamas humohumo kama watakuwa wamewaokoa raia wao. unakumbuka kipindi cha nyuma walishawahi kuchimba handaki toka gaza hadi israel wakawa wanapitia kwenda kufanya mashambulizi, na mahandaki mengine yameenda hadi misri.Sio mara ya kwanza kwa Israel na Hamas kupigana ground bettle hivyo hakuna kigeni ,narudia tena vita sio lele mama kwa sasa hautanielewa lakini subiri mashambulizi ya ardhini yaanze ndo utanielewa.
Ndio maana nimekuambia unaongea kwa mihemko kwahiyo kipindi wanaharibu hayo mahandaki wao hamas watakuwa wamekaa wanawaangalia tu.miaka ya nyuma wapalestina walikuwa na advantage, walikuwa wakipigwa wanalia na dunia inawaonea huruma, israel wanarudi. lakini baada ya ukatili wa juzi, mataifa mengi yanataka Gaza yote ifumuliwe. kinachofumuliwa pale ni kwamba, kuna mahandaki mengi sana pale gaza, na huko ndio silaha za hamas zimefichwa na hamas wanajificha huko. hata mateka wamewapeleka huko. sasa israel wanataka kufumua na kuharibu mahandaki yote kabisa na kuna uwezekano wakawafukia na hamas humohumo kama watakuwa wamewaokoa raia wao. unakumbuka kipindi cha nyuma walishawahi kuchimba handaki toka gaza hadi israel wakawa wanapitia kwenda kufanya mashambulizi, na mahandaki mengine yameenda hadi misri.
wewe ndio hata ubongo hauna, umejaza kinyesi bila shaka kichwani.Huna akili.
Umesema mengi, lakini nataka unipatie mfano mmoja ambao F-35 imeonyesha maajabu yake vitani tunacho kijua sisi ni F-35 kusepa in waonapo Russian SU-35 na SU 57 - sifa za F-35 zipo kwenye weekly millitary journals za Merikani tu zilizo jaa propaganda tupu kusifia an over rated and highly priced jet fighter in the WORLD i.e the truth of the matter is: F-35 is simply a paper tiger - we saw it cut and run when SU-35 approached it undetected by a USA F-35 and a fuel tanker in Syrian airspace.Mkuu mbona unaongea utadhani kuangamizwa kwa Israel ni kitendo chepesi, eti mahandaki yatafyatua mabomu kwa mpigo. Kwani Israel unafikiri hapokei silaha za maangamizi kutoka kwa washirika wake? Aircraft carriers mbili zipo jirani na Israel kutoka US.
Hapo bado hujaweka Cruisers, Destoyers, Frigates zilizoongozana na Carriers. Hapo hatujaweka air supports za ndege kama F35 zilizo tayari kutumika kuisaidia Israel.
Muingereza na mfaransa nao wanasambaza meli zao kuelekea Israel, German anapeleka silaha tu na yeye. Kwa namna hiyo, hakuna nchi ya kiarabu kama Egypt, Iran, Lebanon wanaweza kuvimba dhidi ya Israel ila wasikilizia tu huruma za Israel.