UN: Israel inataka watu Milioni 1.1 waondoke Gaza ndani ya Saa 24

Hamas ndio shida. Yeye hataki two state solutions, Bali anataka Israel isiwepo kwenye uso wa Dunia.
Hao wavaa vipedo na makobazi Wana akili ndogo Sana.Kuna jitihada kadhaa zilifanyika kuifuta jamii ya wayahudi toka zamani lakini ilishindikana.Kuna Haman , kipindi cha kitabu cha Ester kwenye bible, Haman aliishia kunyongwa yeye, Wayahudi wakanusurika.Waroma kipindi cha Yesu walifukuza Wayahudi wakakimbilia Ulaya na nchi zingine.Hitler aliua wayahudi wengi Sana ulaya "Holocaust". Sasa Hivi Iran na proxies zake,Hesbollah na Hamas wana mpango huo pia.Hii Historia ya Haman wa kipindi kile alitokea Persia ambayo ndio Iran ya Leo, Ayotollars 🤔
 
wana bahati sana hawa wamepewa na muda kabisa tena siku nzimaaaa wanataka nini tena aisee Israel wana upendo sana ndo maana Mungu amewabariki na anazidi kuwabariki

Halafu nimegundua kumbe Israel kabla hajaishambulia Gaza huwa anatoa taarifa. Hii nimeipata kwenye Aljazeera, raia wa Gaza walikuwa wanalalamika kuwa Israel anawaashambulia bila kuwapa taarifa Kama anavyofanya. Na wenyewe wanashangaa.
 
Jambo hilo llikitokea itakuwa hatari sana kwa Israel kwani huko wataend kufanya harakati za kuja kukomboa nchi yao na Israel hatawwza kuwa monitor kama anavyofanya Gaza.

Naludia tena, anachofanya Israel ni kuwachelewesha wapalestina kupata haki yao lakini hataweza kuzuia haki yao wasipate historia ipo wazi na haiwezi kudanganya

Shida ni Hamas Hawa ndio walimuingiza kingi Arafat. Watu wamesign Oslo Accords, halafu wanakuja kuyavunja kijinga.
 
Halafu nimegundua kumbe Israel kabla hajaishambulia Gaza huwa anatoa taarifa. Hii nimeipata kwenye Aljazeera, raia wa Gaza walikuwa wanalalamika kuwa Israel anawaashambulia bila kuwapa taarifa Kama anavyofanya. Na wenyewe wanashangaa.
Zile nyumba kabla ya kupigwa bomu na ndege za Israeli,wanapigiwa simu na kutumiwa meseji,Halafu zinagongwa juu kabla ya live fire, ambayo inashambulia baada ya dakika kadhaa.Kama ni kukimbia watakuwa wameshakimbia mbali.Sema waarabu ni wabishi tu,kufa kwao Sio issue🤔
 
Hii assumption sio kabisa, unajua Hamas wakichukua mateka huwa inaleta tabu ya kubadilishana wafungwa na kulazimisha majadiliano amabayo wayahudi huwa yanawakwaza.

Prime target ya Hamas ilikuwa ni kuchukua mateka wa kutosha,kisha waibane Israel kwenda ktk meza ya maongezi.

Issue hapo Israel wakiwa katika msimu wa ibada zao, kuna mtu aliwauza katika masuala ya ki intelligencia.

Hamas hii ni plan sio ya kushtukiza, walikuwa wanavizia hiyo siku, na wadau wao wakawasaidia namna flani

Hamas ndio Tatizo. Wale Fatah mbona hawana shida. Maana wao wanaiamini kwenye two state solutions. Makao makuu ya Israel yawe Jerusalem Magharibi na makao makuu ya Palestine yawe Jerusalem mashariki. Sasa hamas wanataka Jerusalem yote na hawataki Israel iwepo.
 
Wakati mwingine unaweza kufikili akili za katibu mkuu wa UN na wasaidizi wake akili zao fyatu kabisa - wakisha ongwa na USA kuipendelea katika suala hili huwambii kitu utasikia kwamba Israel hiko justied - kuna member fulani ilisema mpango mzima unaweza kuwa wa Israel (MOSSAD) kubuni mbinu za aidha kuwauua Wapalestina kwa wingi kwa kisingizio kwamba Israel imevamiwa ghafla hivyo na wao ni lazima wajibu mapigo au walazimishe UN kutafuta sehemu ya kuwahamishia Wapalestina - ya miaka 1940s yanajirudia tena.

Binafsi nina maoni tofauti: kama kweli mpango nzima ulisukwa na Wapalestina wenyewe nanajua vizuri Waisrael watakavyo react kwakitumia air force na ground troops na vifaru, tuliona yaliyo tokea wakati Israel ilipojitia kuivamia Lebanon wakajikuta wanadundwa vibaya sana na wanamgambo wa Hazebbola, vifaru vikateketezwa na Kornet na fighyer planes na SAM za kubeba begani - hata hawa HAMAS watakuwa walijitayarisha kwa muda mrefu jinsi ya ku deal na tishio la Israel la kulipiza kisasi - HAMAS watawashangaza wengi nawambeni, nakubali ni Wapalestina wengi wanaweza kupoteza maisha kwa wingi lakini hata Israel yenyewe hisijiamini sana kwa kidhani HAMAS si lolote si chochote, therefore wanaweza waka hamishwa tu kama kondoo na kupelekwa anywhere - binafsi I don't think so.

Nusu ya Gaza itachukuliwa na Israel. Maana wapalestina wameanza kukimbia.
 
Mkuu hata Israel yenyewe ina jua ugumu wa hii vita hasa ground bettle na ndio maana hii ni siku ya sita haijaingia gaza bado inajipanga vizuri ndo aingie ili asije kutana na maafa, lakini hilo halita saidia sana kwasababu hawajui pia Hamas wamejipangaje na watatumia mbinu gani kukabiliana nao.
Tatizo lipo kwa hawa jf walio jaa mihemko wanao dhani vita ni sawa na kucheza ngoma.

Ndio maana kawaambia raia waondoke pale ili wapigane vizuri. Shida ya Hamas wanajichanganya na Raia
 
Wakati mwingine unaweza kufikili akili za katibu mkuu wa UN na wasaidizi wake akili zao fyatu kabisa - wakisha ongwa na USA kuipendelea katika suala hili huwambii kitu utasikia kwamba Israel hiko justied - kuna member fulani ilisema mpango mzima unaweza kuwa wa Israel (MOSSAD) kubuni mbinu za aidha kuwauua Wapalestina kwa wingi kwa kisingizio kwamba Israel imevamiwa ghafla hivyo na wao ni lazima wajibu mapigo au walazimishe UN kutafuta sehemu ya kuwahamishia Wapalestina - ya miaka 1940s yanajirudia tena.

Binafsi nina maoni tofauti: kama kweli mpango nzima ulisukwa na Wapalestina wenyewe nanajua vizuri Waisrael watakavyo react kwakitumia air force na ground troops na vifaru, tuliona yaliyo tokea wakati Israel ilipojitia kuivamia Lebanon wakajikuta wanadundwa vibaya sana na wanamgambo wa Hazebbola, vifaru vikateketezwa na Kornet na fighyer planes na SAM za kubeba begani - hata hawa HAMAS watakuwa walijitayarisha kwa muda mrefu jinsi ya ku deal na tishio la Israel la kulipiza kisasi - HAMAS watawashangaza wengi nawambeni, nakubali ni Wapalestina wengi wanaweza kupoteza maisha kwa wingi lakini hata Israel yenyewe hisijiamini sana kwa kidhani HAMAS si lolote si chochote, therefore wanaweza waka hamishwa tu kama kondoo na kupelekwa anywhere - binafsi I don't think so.
Hamas hii hii inayotafuta huruma za UN na kulialia kuhusu haki za binadamu baada ya kupokea kipigo ndio itaishinda Israel?
 
Wamewaambia waendelee North Gaza. Nadhani hiyo south yote itakuwa Chini ya Israel.
Sio kweli. Bali watu wote waliopo Kaskazini mwa Gaza(North Gaza) ambapo ndipo Israel inapakana na nchi ya Lebanon wameamriwa wahamie kusini mwa Gaza(Southern Gaza) ambapo ndio Israel inapakana na nchi ya Misri.
 
Wakati mwingine unaweza kufikili akili za katibu mkuu wa UN na wasaidizi wake akili zao fyatu kabisa - wakisha ongwa na USA kuipendelea katika suala hili huwambii kitu utasikia kwamba Israel hiko justied - kuna member fulani ilisema mpango mzima unaweza kuwa wa Israel (MOSSAD) kubuni mbinu za aidha kuwauua Wapalestina kwa wingi kwa kisingizio kwamba Israel imevamiwa ghafla hivyo na wao ni lazima wajibu mapigo au walazimishe UN kutafuta sehemu ya kuwahamishia Wapalestina - ya miaka 1940s yanajirudia tena.

Binafsi nina maoni tofauti: kama kweli mpango nzima ulisukwa na Wapalestina wenyewe nanajua vizuri Waisrael watakavyo react kwakitumia air force na ground troops na vifaru, tuliona yaliyo tokea wakati Israel ilipojitia kuivamia Lebanon wakajikuta wanadundwa vibaya sana na wanamgambo wa Hazebbola, vifaru vikateketezwa na Kornet na fighyer planes na SAM za kubeba begani - hata hawa HAMAS watakuwa walijitayarisha kwa muda mrefu jinsi ya ku deal na tishio la Israel la kulipiza kisasi - HAMAS watawashangaza wengi nawambeni, nakubali ni Wapalestina wengi wanaweza kupoteza maisha kwa wingi lakini hata Israel yenyewe hisijiamini sana kwa kidhani HAMAS si lolote si chochote, therefore wanaweza waka hamishwa tu kama kondoo na kupelekwa anywhere - binafsi I don't think so.
Israel kwa sasa hataka hayo yatokee ndo maana katumia sana Airforce
Anakumbukumbu nzuri kuhusu Gaza 2016
 
Back
Top Bottom