UN: Israel inataka watu Milioni 1.1 waondoke Gaza ndani ya Saa 24

UN: Israel inataka watu Milioni 1.1 waondoke Gaza ndani ya Saa 24

Mkuu hata Israel yenyewe ina jua ugumu wa hii vita hasa ground bettle na ndio maana hii ni siku ya sita haijaingia gaza bado inajipanga vizuri ndo aingie ili asije kutana na maafa, lakini hilo halita saidia sana kwasababu hawajui pia Hamas wamejipangaje na watatumia mbinu gani kukabiliana nao.
Tatizo lipo kwa hawa jf walio jaa mihemko wanao dhani vita ni sawa na kucheza ngoma.
Ukiweka maanani kwamba the brains behind this brilliant operation ni dogo mmoja kasomea masuala ya Physics, Chemistry na Biolojia Chuo Kikuu, umri wake huazidi miaka 35 lakini ana akili balaaa,kilicho mkasilisha zaidi ni pale wanajeshi/askali wa Israel walipo vamia/ingia msikiti wakawapia waumini risasi watoto wadogo
 
Israel maliza tu hao 1m. Watoke hapo waende wapi? Wamalizeni tu humohumo, walisema wapo tayari kufa hao.
 
Walikosea wenyewe kuruhusu Hamas wawaingilie.
Na ndo maana nasema Israel alijua mipango ya Hamas akaamua aiache kama ilivyo
Na kupokea idadi kubwa hivyo ya watu ni mtihani, watakula wapi, mtawalaza vipi.
 
Kutokea Gaza kasikazini kwenda kusini sio mbali kihivyo.Wagaza wanaweza kwenda Hata kwa miguu,ni kama umbali wa kutoka Kariakoo kuelekea kimara ,Mbezi au kibaha Fulani hivi.Wangeanza mdogomdogo kuondoka [emoji848]
Kumbe karibu tuuuuu
 
Jiulize tu Israel angetumia mbinu gani kuwaondoa kama sio kuruhusu aumie kwanza?

Hapo wamepata sababu na inaungwa mkono na dunia nzima.

Hapo watawafagia wote hadi waelekee Misri
Hao ni watakuwa ni mzigo kwa waarabu wenzao.
 
Walikosea wenyewe kuruhusu Hamas wawaingilie.
Na ndo maana nasema Israel alijua mipango ya Hamas akaamua aiache kama ilivyo

Hata Mimi nahisi aliwaacha ili apate justification. Shida Hamas hawakuliona hilo
 
Duh si utani.Tatizo la Hao waGaza ni kuwaruhusu Hamas kutumia makazi Yao kama kambi za kijeshi kuishambulia Israeli.Israeli inachofanya sasa ni kuharibu miundombinu ya kijeshi ya Hamas iliyopo Gaza ambayo ipo katikati ya makazi ya Watu.Watu wanaokufa Gaza wanakuwa karibu na maeneo ambayo kuna silaha za Hamas 🤔

Na Hilo ndio tatizo.
 
Waendelee kaskazini ya Gaza. Pole pole Gaza itakuja kuwa Chini ya Israel.
Ni kama enzi za Ariel Sharon, Waziri Mkuu wa Israeli alifanya"Unilateral Withdraw", Matokeo yake maeneo hayo yakachukuliwa na Hamas na kutumia kushambulia Israeli.Naona Israeli wameamua kuyachukua hayo maeneo upya kwa ajili ya usalama wake.Israeli ikijifanya inasikiliza kelele za jumuiya za kimataifa,sijui haki za binadamu AU UN itakuwa imekula kwao.Hamas hawafuati hizo,sheria.Hao ni magaidi tu kama ilivyo ISIS,Alshaabab ,Alqaida AU bokoharamu🤔
 
Kutokea Gaza kasikazini kwenda kusini sio mbali kihivyo.Wagaza wanaweza kwenda Hata kwa miguu,ni kama umbali wa kutoka Kariakoo kuelekea kimara ,Mbezi au kibaha Fulani hivi.Wangeanza mdogomdogo kuondoka 🤔

Na wakiondoka jamaa ana occupy eneo. Wanabakia na North pekee.
 
Nimeuliza kuanzia jumapili....ni wazi motive ya Hawa jamaa wanataka kuwwaondoa palestina pale completely....he waende wapi

Wamewaambia waendelee North Gaza. Nadhani hiyo south yote itakuwa Chini ya Israel.
 
Back
Top Bottom