UN: Israel inataka watu Milioni 1.1 waondoke Gaza ndani ya Saa 24

UN: Israel inataka watu Milioni 1.1 waondoke Gaza ndani ya Saa 24

Umoja wa Mataifa (UN) umedai kuwa umejulishwa na Jeshi la Israel kuwa Wakazi wa Gaza Kaskazini wanatakiwa kuwa wameondoka eneo hilo ndani ya Saa 24.

UN imesema jambo hilo ni gumu kutekelezeka kwa kuwa idadi hiyo ni nusu ya watu wote waliopo Gaza.

Israel imekuwa ikijiandaa kwa mashambulizi ya ardhini, kukusanya Wanajeshi, mizinga na vifaru kwenye mpaka wa Gaza na kujibu mashambulizi ya anga kuelekea Gaza kwa siku kadhaa zilizopita wakijibu kile kilichofanywa na Wanamgambo wa Hamas kwa kufanya mashambulizi ya kushtukiza.


######
Israel wants 1.1 million people in north Gaza to leave in next 24 hours - UN

The Israeli military has told the UN that everyone living north of Wadi Gaza should relocate to southern Gaza in the next 24 hours, says a UN spokesperson.
The UN says this amounts to approximately 1.1 million people - about half the population of the entire Gaza Strip.

The affected area includes densely populated Gaza City.
The alert was given just before midnight, Gaza and Jerusalem time (23:00 GMT).

"The United Nations considers it impossible for such a movement to take place without devastating humanitarian consequences," the UN said in a statement.

Israel has been preparing for a ground offensive, gathering soldiers, heavy artillery and tanks on the border of Gaza. It has been launching airstrikes on Gaza since Saturday after Hamas militants' surprise attack on Israel.

Source BBC
Waambie tuu kwamba dealth or our land full stop
 
"The only way out of the vicious circle of the Palestinian-Israeli conflict is the creation of an independent Palestinian state.”

Anasema raisi Xi.

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
kipind wana ardhi yao kwanb hawakufanya ivyo , walijishindwa jitawala wakatamani na waisrael pia wawe kama wao , sasa waisrael wakaona kuwapokonya hiyo ardhi yao maana ilikuwa inawapa kiburi
 
Inasikitisha sana...
hakuna cha kusikitisha hapo , walipewa uhuru wa kuwa na serikali yao na wangetulia bas leo wangekuwa wanaelekea kutambulika kimataifa ila ujinga wao wa kuongozwa na wajinga ndo umewafikisha hapa , ujinga huu huu kama waafrika kusini wangekuwa nao ule mwaka 1994 basi yangewakuta kana haya , huez tumia nguvu kwenye kila kitu
 
Back
Top Bottom