pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Waliyataka wenyewe wasitake huruma toka kwetu, wapambane na hali zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena tukafyeke mashamba Ruvuma hukoFamilia inanyukana sisi tukalime
Picha jeshi la Israel (IDF)
Whats up with the diapers?View attachment 2780568
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Hii assumption sio kabisa, unajua Hamas wakichukua mateka huwa inaleta tabu ya kubadilishana wafungwa na kulazimisha majadiliano amabayo wayahudi huwa yanawakwaza.Kwamba Israel alijua wananchi wake wata uwawa ila akaamua wakae kimya?
Nani aondoke mjini?Tena tukafyeke mashamba Ruvuma huko
Nyinyi mbona hamkuwafagia waganda kuwapeleka Sudan?Jiulize tu Israel angetumia mbinu gani kuwaondoa kama sio kuruhusu aumie kwanza?
Hapo wamepata sababu na inaungwa mkono na dunia nzima.
Hapo watawafagia wote hadi waelekee Misri
Acha ufala basi hata ww hapo ni mkimbizi mtalajiwa maana siasa huwa hazieleweki ipo siku isiyo na jina na ww unaweza jikuta uko katikati ya vita na usijue cha kufanya.Israel waifute gaza waichukue pamoja na sehem zilizobaki za wapalestina hakuna kuonesha huruma hizi stori ziishe dunia ijifunze ili ushinde inatakiwa uwe mbabe mwenye uwezo wa kila kitu
🤣🤣🤣🤣🤣bora hata nisingefungua comment yako nimecheka kifala hadi watu wanashangaa daahNani aondoke mjini?
Ukalime utatuletea tununue tule😂
Ukainame shamba sisi tunasubori mjini tununue kwa bei tunatokupandia, what kind of ufalla😂😂🤣🤣🤣🤣🤣bora hata nisingefungua comment yako nimecheka kifala hadi watu wanashangaa daah
Jambo hilo llikitokea itakuwa hatari sana kwa Israel kwani huko wataend kufanya harakati za kuja kukomboa nchi yao na Israel hatawwza kuwa monitor kama anavyofanya Gaza.Pengine Misri,Jordan au Lebanon wakakae huko kwa muda kupisha hii vita
Mkuu kwanza usiwacheke sana wapalestina kwa sababu hata ww unaweza jikuta siku moja ni mkimbizi kama wao maana siasa hazijawahi kutabilika.Unadhani njia ipi ingetumika kuimaliza Gaza kama sio kuruhusu uumizwe?
Na ndicho kinachotafutwa.....Israel anataka eneoFor sure, Wakilogwa wakaenda huko, katu Israel hataruhusu warudi tena
Wakati mwingine unaweza kufikili akili za katibu mkuu wa UN na wasaidizi wake akili zao fyatu kabisa - wakisha ongwa na USA kuipendelea katika suala hili huwambii kitu utasikia kwamba Israel hiko justied - kuna member fulani ilisema mpango mzima unaweza kuwa wa Israel (MOSSAD) kubuni mbinu za aidha kuwauua Wapalestina kwa wingi kwa kisingizio kwamba Israel imevamiwa ghafla hivyo na wao ni lazima wajibu mapigo au walazimishe UN kutafuta sehemu ya kuwahamishia Wapalestina - ya miaka 1940s yanajirudia tena.SWALI SIMPLE: WAONDOKE WAENDE WAPI?
Mkuu hata Israel yenyewe ina jua ugumu wa hii vita hasa ground bettle na ndio maana hii ni siku ya sita haijaingia gaza bado inajipanga vizuri ndo aingie ili asije kutana na maafa, lakini hilo halita saidia sana kwasababu hawajui pia Hamas wamejipangaje na watatumia mbinu gani kukabiliana nao.Wakati mwingine unaweza kufikili akili za katibu mkuu wa UN na wasaidizi wake akili zao fyatu - wakisha kuwa ongwa na USA kuipendelea katika suala hili huwambii kitu utasikia kwamba Israel hiko justied - kuna member fulani ilisema mpango mzima unaweza kuwa wa Israel (MOSSAD) kubuni mbinu za aidha kuwauua Wapalestina wengi au kutafuta kisingizio cha kuwahamishia nchi nyingine.
Binafsi nina maoni tofauti: kama kweli mpango nzima ulisukwa na Wapalestina wenyewe nanajua vizuri Waosrael watakavyo react kwakitumia air force na ground troops na vifaru, tuliona yaliyo tokea wakati Israel ilipojitia kuivamia Lebanon wakajikuta wanadundwa vibaya sana na wanamgambo wa Hazebbola, vifaru vikateketezwa na Kornet na fighyer planes na SAM za kubeba begani - hata hawa HAMAS watakuwa walijitayarisha kwa muda mrefu jinsi ya ku deal na tishio la Israel la kulipiza kisasi - HAMAS watawashangaza wengi nawambeni, nakubalini Wapalestina wengi wanaweza kupoteza maisha kwa wingi lakini hata Israel yenyewe hisijiamini sana kwa kidhani HAMAS si lolote si chochote, wata hamishwa tu kama kondoo.