UN: Israel inataka watu Milioni 1.1 waondoke Gaza ndani ya Saa 24

👆👆👆👆👆👆👇👇👇👇👇👇
Sijui kama huwa unashirikisha akili zako kufanya uchambuzi au huwa unaishia kutumia hisia na matamanio tu na kukupelekea kuwa miongoni mwa wanadamu ambao akili zao wamezifungia tu makabatini zikipigwa vumbi na kugeuka makaazi ya mende.

💥Una maanisha nini unaposema ushindi au kushindwa?💥

🤔Kujua ni nani mshindi na ni nani aliyeshindwa, hebu tusaudie kujibu maswali haya:

🤔Ni nani aliyefikia malengo yake katika ile vita?

🤔Ni nani aliyeathiriwa zaidi na uharibifu kutokana na vita ile?

🤔Upande gani ulipata idadi kubwa zaidi ya majeruhi na vifo?

🤐Ukiweza kujibu maswali haya bila shaka utajua ni nani alisha. Tuendelee mbele kidogo hadi tupate majibu ya maswali na kujua ni nani alishinda;

👉Hezbollah walikimbia na kwenda mbali na mpaka wa Israeli na Lebanon ambapo awali walikuwepo. Israel ikaingia ndani zaidi ya Lebanin na kukalia maeneo mengi ya Lebanon, ikaifunga kabisa nchi, hakuna usafiri wa anga, bahari wala ardhi kutoka na kuingia Lebanon. Hali ilibaki h8vyo mpaka pale watunza amani wa kimataifa walipoenda kuongea na Israel na kuihakikishia usalama kwa Umoja wa Mataifa kubeba Jukumu la kulinda mpaka wa Israel upande wa Lebanon na kweli baadaye, mpaka ule ukawekwa chini ya usimamizi wa UNIFIL. Kwa hivyo, Israeli iliweza kufikia lengo lake. (Ingawa sasa hivi tena pamoja na uwepo wa Unated Nations Interim Force in Lebanon, bado Hezbollah wanashambulia na Israel inawaacha sababu ni jukumu la UNIFIL, so Israel wakiingia tena Lebanon kama ilivyo Gaza msianze tena kulia, maanaHezbollah inashambulia na UN inaangalia tu).

👉Tangu wakati ule, Hassan Nasrallah(Katibu Mkuu wa Hezbolla) mepotea in public na sasa anaonekana nyuma ya kamera tu akitupia video na audio clips, si hadharani (Juzi hapo mjini Beirut amekutana na amejadiliana na waziri wa mambo ya nje ya Iran wakiangalia uwezekano wa Hezbollah kuingia vitani)

👉Lebanon ilipata na uharibifu mkubwa sana, wakati Israeli haikufikia hata 0.001% ya vile ambavyo Lebanon ilikuwa imeharibiwa.

👉Idadi ya waliokufa na waliojeruhiwa kwa upande wa Lebanoni ni mara nyingi zaidi.

Ikiwa huu ndiyo mnauita ushindi, basi naomba leo mniambie ni nini maana ya kushindwa?
 
Maana ukifatilia sana Israel hawakuwa na sababu ya kuwaondoa bila wao kuumizwa kwanza ili sababu ipatikane.
Ni sawa na uvamizi wa WTC 11/09
Swali lingine ambalo watu hawataki kujiuliza ni je! Ilikuwaje Idadi kubwa ya waliovamia Israel wengi waliishia kufyekwa humohumo Israel na wachache kati yao ndiyo walifanikiwa kurudi Gaza. Hamas waliovamia walikua ni 1,000+,
Waliofanikiwa kurudi hardly ni 500.
 
Hata Mimi nahisi aliwaacha ili apate justification. Shida Hamas hawakuliona hilo
Kwa mujibu wa vyanzo wa uhakika: Egypt iliionya Israel kuwa kuna shambulio linapangwa na Hamas lkn kwa mujibu wa vyanzo hivyo Israel ilipuuza! Binafsi naamini Israel ilijua kila kitachotokea ila iliacha kitokee ili ipate sababu ya kuifuta Palestina.
 
Shida ni Hamas Hawa ndio walimuingiza kingi Arafat. Watu wamesign Oslo Accords, halafu wanakuja kuyavunja kijinga.
Hamas wanaume halisi, waliona mkataba aliosaini Arafati ni wakisenge na hautaawezesha kupaga haki yao. The only way inakayowafanya wapate haki yao ni kuifanya Israel wkose amani
 
Hamas ataanza kuchukiwa na raia wa Gaza. Maana kawaingiza kingi.
Ndoto hizo. Hamas ndio kwanza wanapata umaharufu duniani na watakaoanza luchukiwa zaidi ni Israel kwa kushambulia majengo na makazi ya watu wa kawaida. Mpaka sas umeshasikia mpalestina yoyote au waislamu au watu wapenda haki wakiilalamikia Hamas??
 
Hapo kwenye kufyatua watoto na mm nawapongeza Hamas, Kuna gar walimokuwemo wanamgambo wa Hamas lilipolipuliwa maparachichi tele na karanga mbichi yakamwagika barabaran
 
Wanafiki hasa aljazeera
 
Mkuu mbona unaongea utadhani kuangamizwa kwa Israel ni kitendo chepesi, eti mahandaki yatafyatua mabomu kwa mpigo. Kwani Israel unafikiri hapokei silaha za maangamizi kutoka kwa washirika wake? Aircraft carriers mbili zipo jirani na Israel kutoka US.

Hapo bado hujaweka Cruisers, Destoyers, Frigates zilizoongozana na Carriers. Hapo hatujaweka air supports za ndege kama F35 zilizo tayari kutumika kuisaidia Israel.

Muingereza na mfaransa nao wanasambaza meli zao kuelekea Israel, German anapeleka silaha tu na yeye. Kwa namna hiyo, hakuna nchi ya kiarabu kama Egypt, Iran, Lebanon wanaweza kuvimba dhidi ya Israel ila wasikilizia tu huruma za Israel.
 
Ndio maana kawaambia raia waondoke pale ili wapigane vizuri. Shida ya Hamas wanajichanganya na Raia
Hii sio mara ya kwanza kwa Israel na Hamas kupigana ground bettle.
 
Sio mara ya kwanza kwa Israel na Hamas kupigana ground bettle hivyo hakuna kigeni ,narudia tena vita sio lele mama kwa sasa hautanielewa lakini subiri mashambulizi ya ardhini yaanze ndo utanielewa.
miaka ya nyuma wapalestina walikuwa na advantage, walikuwa wakipigwa wanalia na dunia inawaonea huruma, israel wanarudi. lakini baada ya ukatili wa juzi, mataifa mengi yanataka Gaza yote ifumuliwe. kinachofumuliwa pale ni kwamba, kuna mahandaki mengi sana pale gaza, na huko ndio silaha za hamas zimefichwa na hamas wanajificha huko. hata mateka wamewapeleka huko. sasa israel wanataka kufumua na kuharibu mahandaki yote kabisa na kuna uwezekano wakawafukia na hamas humohumo kama watakuwa wamewaokoa raia wao. unakumbuka kipindi cha nyuma walishawahi kuchimba handaki toka gaza hadi israel wakawa wanapitia kwenda kufanya mashambulizi, na mahandaki mengine yameenda hadi misri.
 
Zile kelele za wasifia Palestine sizioni Tena.


Niliwaonya itapigwa counter attack Moja hatari sana
 
Ndio maana nimekuambia unaongea kwa mihemko kwahiyo kipindi wanaharibu hayo mahandaki wao hamas watakuwa wamekaa wanawaangalia tu.
Mwaka 2014 Israel ilisha ivamia gaza na akapigana na hamas kwa zaidi ya mwezi mzima na hakuweza kuwashinda.
 
Umesema mengi, lakini nataka unipatie mfano mmoja ambao F-35 imeonyesha maajabu yake vitani tunacho kijua sisi ni F-35 kusepa in waonapo Russian SU-35 na SU 57 - sifa za F-35 zipo kwenye weekly millitary journals za Merikani tu zilizo jaa propaganda tupu kusifia an over rated and highly priced jet fighter in the WORLD i.e the truth of the matter is: F-35 is simply a paper tiger - we saw it cut and run when SU-35 approached it undetected by a USA F-35 and a fuel tanker in Syrian airspace.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…