Na ndio maana nili-restructure swali langu kwamba kama sio Aggreko na Dowans basi ni makampuni yao gani walikuwa wanayalinda enzi za Mwalimu?Ndio maana nimekuuliza ili uweze kufikiria steps mbili au tatu mbele.
Jiulize kwamba wakoloni walipoondoka Tanzania walikufa au?
Na interests zao zilikoma?
Kuwa na Aggreko na Dowans ni kielelezo tu cha interests za hao wakubwa.
Kesho inaweza ingia kampuni lenye jina tofauti.
Mwafrika, kila mtu anataka upumbazwe ili daima ubaki tegemezi.
Na ukiwa tegemezi, umeshatawaliwa upya.
Na kama sio makampuni, ni maslahi yao yapi waliyokuwa wanayalinda enzi za Mwalimu?
Au labda tu nikukumbushe kama umesahau au nikujuze kama hujui!
Rais Reagan wa US aliwahi kuitoa US from UNESCO kwa madai kwamba UNESCO wanai-favor Soviet over the United States!
Ni juzi juzi tu hapa Rais Donald Trump nae ametishia kuitoa US from UNESCO (baada ya kutolewa na Reagan, ilirudishwa na Bush) over Jerusalem saga huku Israel nayo ikitangaza kumuunga mkono Trump kujitoa from UNESCO!
Kwahiyo hayo madai yako hayana msingi wowote na yameshazoeleka duniani kutokana na misimamo ya UNESCO!