Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Labda hujasoma shule za Dar kuanzia primary hadi A level ndiyo ungejua namna changamoto ya usafiri inavyochangia mtoto kushuka kitaaluma.Kufeli na kufaulu kupo zaidi katika mindset zaidi.
Wengi tumefika tulipo sio kwamba tulikuwa na IQ kubwa bali tulikuwa na positive attitude toward the studies.
Mtu kabla ya yeye kuanza kusoma anabidi kuipenda shule kwanza.
Hivyo nadhani walimu wa hiyo shule plus wanafunzi wameshapoteza winning mentality.
Kuhusu changamoto za usafiri sio sababu za MTU kupata four au zero
Yaani mtoto anatoka nyumbani alfajiri saa kumi anagombania usafiri anapata gari saa moja halafu anafika shule saa tatu anakutana na kero za walimu hawaelewi kwanini amechlewa.
Kurudi anafika nyumbani saa tatu hadi nne usiku hapo hapo apate muda wa kujisomea then kesho saa kumi alfajiri awe barabarani tena.
Aise wewe acha tu kama huja experience shida ya usafiri Dar unaweza kuona mtoto ni mzembe.