Ana tako?Hi.
Ushauri gani unaweza kumpa binti aliye in her early 20s ambaye anajiandaa kuhamia mji mkubwa kwa mara ya kwanza, kujihusisha na kazi ya waitress asiye na exposure ya maisha yoyote? Anajiandaa kuishi mbali na wazazi, kukutana na mazingira mapya, watu wapya, marafiki wapya, na hali mpya, ikiwa ni pamoja na kukutana na different men and women from different places, kukutana na watu wabaya na wema, watu wa asili tofauti
Ushauri wenu utasaidia
Msahauri nayeye kutokuwa omba omba mjini maana ukituomba pesa ovyo nasisi tutakuomba makuAkae mbali na wanaume wanaosema nibebee mimba nikuoe 😜😅
Lakini pia akae mbali na wanaume wa miaka 45 wanaosema Sijaoa.
Si hivyo tu akae mbali na wanaume wanaolala kwenye magheto ya wanawake bila kuogopa.
Kwa kuongezea akae mbali na wanaume wanaosema nikopeshe laki mbili nitakupa laki nne.
Na mengineyo 😜😜😜😜
Nalegeza kidogoNakazia maneno ya watu huko juu .
Mwambie Aogope wanaume
Ahah usitufanyie ivyo bhnaNalegeza kidogo
Awaogope Intelligent businessman mshamba_hachekwi Mwachiluwi Poor Brain
Hawa vijana wana tabia mbaya si mchezo.
Yeye amekuja kufanya kazi 😅Msahauri nayeye kutokuwa omba omba mjini maana ukituomba pesa ovyo nasisi tutakuomba maku
Aiseee hatari kumbe mitego mingi sanaaAkae mbali na wanaume wanaosema nibebee mimba nikuoe 😜😅
Lakini pia akae mbali na wanaume wa miaka 45 wanaosema Sijaoa.
Si hivyo tu akae mbali na wanaume wanaolala kwenye magheto ya wanawake bila kuogopa.
Kwa kuongezea akae mbali na wanaume wanaosema nikopeshe laki mbili nitakupa laki nne.
Na mengineyo 😜😜😜😜
Yeah ni kweli,.Asiwaogope Ajitahidi Kuwaheshimu Na Kujiheshimu And Vice versa
🤣Ahah usitufanyie ivyo bhna
Anaendelea salama kabisa, busy na majukumu ya kila sikumkuu binti macho anaendeleaje?
❤️Na Mimi nimesaidika1. Kama hana support system kutoka kwenye familia, maendeleo ataanza kuyaona kwenye miaka 27/28. Kama hatokuwa na tamaa hatatumika vibaya na ME.
2.Kama anatamaa ajue kuwa atatumika sana hivyo na yeye ajue kuwatumia to her advantage. (kama ana akili lakini)
3.Kazi yake ina age limit, hivyo afanye asave aanzishe hata side hustle.
4.Aombe Mungu na atumie akili katika mahusiano kama anapenda/wish kuolewa. Kama hatopenda kuolewa in her 20’s ajitunze sana.. Ataolewa siku akitaka (it takes courage, akili, exposure na favors from God tho, na si kila mtu ataipata hiyo favor)
5.Akiamua kuzaa kabla ya kuolewa akumbuke mtoto ni wa mama unless kwa wenye bahati mtoto ni wa baba na mama.
6.Asisahau sadaka na wazazi kama anao, ufunguo wa mengi uko hapa.
Kila la heri.
Karibu sweet sis.❤️Na Mimi nimesaidika
Uoga ujinga,Mjini unaishi kwa kukwepa mishale sio kuiogopa.Yeah ni kweli,.
Ila Uwoga nao ni akili sometimes
Bac sawaYeye amekuja kufanya kazi 😅
Naomba nikutafute rafiki❤️Na Mimi nimesaidika
KaribuNaomba nikutafute rafiki
Ameona hioMkumbusheni pia kutokuomba pesa ovyo akifanya hivo amekwisha
😂😂DahAna tako?
Asante dada♥️💯1. Kama hana support system kutoka kwenye familia, maendeleo ataanza kuyaona kwenye miaka 27/28. Kama hatokuwa na tamaa hatatumika vibaya na ME.
2.Kama anatamaa ajue kuwa atatumika sana hivyo na yeye ajue kuwatumia to her advantage. (kama ana akili lakini) note; wanaume si wajinga, wana udhaifu tu.
3.Kazi yake ina age limit, hivyo afanye asave aanzishe hata side hustle.
4.Aombe Mungu na atumie akili katika mahusiano kama anapenda/wish kuolewa mapema. Kama hatopenda kuolewa in her 20’s ajitunze sana.. Ataolewa siku akitaka (it takes courage, akili, exposure na favors from God tho, na si kila mtu ataipata hiyo favor)
5.Akiamua kuzaa kabla ya kuolewa akumbuke mtoto ni wa mama unless kwa wenye bahati mtoto ni wa baba na mama.
6. Sio lazima kufanya kila dhambi, dhambi zingine zinaharibu roho na kukupeleka down moja kwa moja, Achague dhambi kwa uangalifu..Aepuke peer-pressure na maneno ya vijiweni 😀
7.Asisahau sadaka na wazazi kama anao, ufunguo wa mengi uko hapa.
Kila la heri.