Unabii baada ya kiongozi mmoja wa juu kubeza uwepo wa Mungu

Hatokuwa Rais stay tune wengi mtapigwa bumbuwazi ila that is how will happen
Binafsi namkubali kiongozi wetu aendelee kutuongoza, najua sio Malaika, ana mapungufu.
Ili hizo tabiri zenu zisitimie lazima amteue M/mwenyekiti ambaye ni very royal kwake, anayemfahamu vizuri, chama kisimteulie,

Fomu iwe moja tu, secretariet ya chama aipe ahadi nzuri nzuri kiwa iwapo akishinda Mambo yao safi

Wazee wastaafu wasiwe na maamuzi yoyote zaidi ya ushauri tu
 
Tumuogope Mungu
 
Labda asitake yeye mweyewe kuendelea lkn sio wewe wala binadamu yoyote anaeweza kumzuia asiendelee

Endelea kuandika porojo zako tu humu
πŸ˜„πŸ˜„Ht uchaguzi wa Marekani walitubishia
Anachokisema ndo Hali ilivyo!

Usifanye mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…