nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,673
- 5,402
Ungekuwa na hekima wala usingeandika hivi, wazazi wangu humu wanahusikaje?Wewe ni zuzu!?, hebu tupe kipande hata kidogo cha kuonyesha kweli baba yako ndie alimzalisha mama yako!?. Ukazaliwa wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa na hekima wala usingeandika hivi, wazazi wangu humu wanahusikaje?Wewe ni zuzu!?, hebu tupe kipande hata kidogo cha kuonyesha kweli baba yako ndie alimzalisha mama yako!?. Ukazaliwa wewe.
MENE MENE TEKELI NA PERESI!Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali.
Hii haitokuwa mara ya kwanza tofauti na watangulizi wa Taifa Hilo. Sisi wana kuona mbali wadogo kama sisimizi tusio na nguvu tumetumwa kuwaambia kama Taifa Mungu wa Taifa la Tz na Ardhi ya Tanganyika anasema hatokuwa naye na hata baada ya kauli ile yakuwa na mashaka ya aina Mungu yupo ama ayupo basi hatomuona ktk kiti chake nahuwenda kama alivyofanya mzaa ndivyo mwisho wa uongozi wake utakavyokuwa ktk kiti chake.
Mungu ataachia mzaa ktk kiti amekikalia kiasi mzaa huu utakuwa kweli ktk hali ya mzaa mbele ya watu wake wakati wa mchana ili Mungu aheshimiwe.
Je Mungu atadhihakiwa na mwanadam amwache lahasha hata history yake uwenda isitajwe maana Mungu hadhihakiwi na kamwe hatodhihakiwa.
Wewe umesema kama mtamkuta Yeye amekujibu sio mpaka Unikute nipo Hapa akavuta kiti pasipo kujuwa Nini umekisema ulipokaa ukaanguka wanajimu walipo kuja wakasema tumkimbize baharini [emoji1787] wenye hekima tukasema hapana maneno yake. Basi ameamua mwenye kiti chake iwe darasa kwetu. [emoji289][emoji24]
Ujumbe huu uwafikie wa Tz na wale mnaamini uwepo wa Mungu na msio amini ili mjuwe Kuna Mungu ktk Taifa la Tz.
Unamaanisha kuna Mene Mene Tekeli na Peresi?. CCM "Mene Mene Tekeli na Peresi" ....?!
Hii sii sawaUjue waislamu ni wajinga sana
One day utajuta Kwa maneno uliyoyaandika.Kuandika kwenyewe hujui,maudhui tafrani...anyway,Mungu mwenyewe unayemsemea ni yesu au!?..Kama yesu huyo usimuogope,alitolewa nduki na watu wenye nyundo na misumari
Yesu wa Biblia sio Isa bin Mariamu.Mungu yesu? Huyu huyu wa waliyemshindilia misumari pale yelusalamu? Takataka
Kuna kitu kinaitwa neema.Bla bla hizi watu wanaua, wanateka na kulawiti kwa wingi n bado Mungu anawaacha na ni matajiri wana afyan njema na wanazidi kupata vyeo sembuse maneno tu.
Mbona mnatofautiana watu wa Imani moja juu ya yesu!?..wengine yesu Mungu,wewe na wengine yesu siyo Mungu..hamjui hata mnaabudu nini!One day utajuta Kwa maneno uliyoyaandika.
And by the way, Yesu kapewa heshima kubwa na Mungu kuliko binadamu yeyote aliyewahi kuishi na anayeishi na atakayeishi duniani na malaika.
Yesu ana asili ya Uungu, Baba yake ni Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.Mbona mnatofautiana watu wa Imani moja juu ya yesu!?..wengine yesu Mungu,wewe na wengine yesu siyo Mungu..hamjui hata mnaabudu nini!
Kila mtu ana Mungu anayemuabudu.Mbona mnatofautiana watu wa Imani moja juu ya yesu!?..wengine yesu Mungu,wewe na wengine yesu siyo Mungu..hamjui hata mnaabudu nini!
Mbona wanazicheze tangu ujanani mpaka uzeeni tena wana life expectancy kubwa tuKuna kitu kinaitwa neema.
Inategemea na nafasi ambayo Mwenye Haki amekupa.
Kumbuka nafasi hiyo ikichezewa hairudii mara mbili .
Mimi nilisema Kama Mungu mwenyewe yesu basi hapaswi kuogopa,sababu yesu aligongelewa misumari na binaadam,we ukaja mbio kudai ntalaaniwaKila mtu ana Mungu anayemuabudu.
Mimi namuabudu Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo ambaye ni Baba wa Bwana wangu Yesu Kristo.
Yesu Kristo ameteuliwa kuwa Hakimu , Kuhani na pia Mfalme wa Wafalme wote, yeye ndo kiunganishi pekee Kati ya Mungu wa Ibrahimu na wanaomwamini kupitia damu yake iliomwagika pale Kalvari kwa ajili ya Kila mtu hapa duniani.
Babaake kwa kuwa alimtia mimba Maryam!?..yesu alikwambia maria Magdalene asimshike atamtengua udhu kwa kuwa hajapaa kwenda kwa baba yake ambaye pia ni baba wa watu wengineYesu ana asili ya Uungu, Baba yake ni Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.
Hakuwa mwanadamu wa kawaida kama Mtume Muhammad (Na Amani iwe juu yake).
Yesu alimheshimu Baba yake mpaka kifo.
Ila Yesu ndo mtu pekee ambaye Mungu wa Ibrahimu alimuita kama Mwanaye wa pekee, hakuna mwanadamu yeyote, hata Nabii Musa HAKUITWA HIVYO.Babaake kwa kuwa alimtia mimba Maryam!?..yesu alikwambia maria Magdalene asimshike atamtengua udhu kwa kuwa hajapaa kwenda kwa baba yake ambaye pia ni baba wa watu wengine
MUNGU ALIMUITA MUSA MTUMISHI WANGU:Babaake kwa kuwa alimtia mimba Maryam!?..yesu alikwambia maria Magdalene asimshike atamtengua udhu kwa kuwa hajapaa kwenda kwa baba yake ambaye pia ni baba wa watu wengine
Mhubiri 3:1-2Mbona wanazicheze tangu ujanani mpaka uzeeni tena wana life expectancy kubwa tu
Huyo mwana wa pekee kasema baba yake ndiye baba wa watu wengine, Mungu wake ndiye Mungu wa watu wengine, Mungu hawezi kuwa na MunguIla Yesu ndo mtu pekee ambaye Mungu wa Ibrahimu alimuita kama Mwanaye wa pekee, hakuna mwanadamu yeyote, hata Nabii Musa HAKUITWA HIVYO.
Imeandikwa
Mathayo 3:16-17
[16]Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;
And Jesus, when he was baptized, went up straightway out of the water: and, lo, the heavens were opened unto him, and he saw the Spirit of God descending like a dove, and lighting upon him:
[17]na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
And lo a voice from heaven, saying, This is my beloved Son, in whom I am well pleased.
Na tena.
Mathayo 17:4-5
[4]Petro akajibu akamwambia Yesu, Bwana, ni vizuri sisi kuwapo hapa; ukitaka, nitafanya hapa vibanda vitatu, kimoja chako wewe, na kimoja cha Musa, na kimoja cha Eliya.
Then answered Peter, and said unto Jesus, Lord, it is good for us to be here: if thou wilt, let us make here three tabernacles; one for thee, and one for Moses, and one for Elias.
[5]Alipokuwa katika kusema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye.
While he yet spake, behold, a bright cloud overshadowed them: and behold a voice out of the cloud, which said, This is my beloved Son, in whom I am well pleased; hear ye him.
HAKUNA MTU YEYOTE HAPA DUNIANI AMBAYE MUNGU ALIMTAMKIA WAZI KUWA NI MWANAYE MPENDWA, HAYUPO. SISI NI WANA WA MUNGU KWA KUMWAMINI YESU, ILA HATUNA ASILI YA KIUNGU, YESU ANAYO.
NIONYESHE NDANI YA MAANDIKO AMBAPO NABII YEYOTE ALIAMBIWA NA MUNGU WAZIWAZI, WEWE NI MWANANGU MPENDWA.
Inawezekana chunga ulimi wako!!Au kale kasalamu; Kwa jina la Jamuhuri?
Nionyeshe kwenye Maandiko ndo tuelewane.Huyo mwana wa pekee kasema baba yake ndiye baba wa watu wengine, Mungu wake ndiye Mungu wa watu wengine, Mungu hawezi kuwa na Mungu