Unabii baada ya kiongozi mmoja wa juu kubeza uwepo wa Mungu

Unabii baada ya kiongozi mmoja wa juu kubeza uwepo wa Mungu

Kuandika kwenyewe hujui,maudhui tafrani...anyway,Mungu mwenyewe unayemsemea ni yesu au!?..Kama yesu huyo usimuogope,alitolewa nduki na watu wenye nyundo na misumari
Soma hii
Screenshot_20230828-110818~2.jpg
 
Wewe umesema kama mtamkuta Yeye amekujibu sio mpaka Unikute nipo Hapa akavuta kiti pasipo kujuwa Nini umekisema ulipokaa ukaanguka wanajimu walipo kuja wakasema tumkimbize baharini 🤣 wenye hekima tukasema hapana maneno yake. Basi ameamua mwenye kiti chake iwe darasa kwetu. 🌎😭
Mhhhh hili shimo limetema kete haki 😃😃😃
 
Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali. Hii haitokuwa mara ya kwanza tofauti na watangulizi wa Taifa Hilo. Sisi wana kuona mbali wadogo kama sisimizi tusio na nguvu tumetumwa kuwaambia kama Taifa Mungu wa Taifa la Tz na Ardhi ya Tanganyika anasema hatokuwa naye na hata baada ya kauli ile yakuwa na mashaka ya aina Mungu yupo ama ayupo basi hatomuona ktk kiti chake nahuwenda kama alivyofanya mzaa ndivyo mwisho wa uongozi wake utakavyokuwa ktk kiti chake. Mungu ataachia mzaa ktk kiti amekikalia kiasi mzaa huu utakuwa kweli ktk hali ya mzaa mbele ya watu wake wakati wa mchana ili Mungu aheshimiwe. Je Mungu atadhihakiwa na mwanadam amwache lahasha hata history yake uwenda isitajwe maana Mungu hadhihakiwi na kamwe hatodhihakiwa. Wewe umesema kama mtamkuta Yeye amekujibu sio mpaka Unikute nipo Hapa akavuta kiti pasipo kujuwa Nini umekisema ulipokaa ukaanguka wanajimu walipo kuja wakasema tumkimbize baharini 🤣 wenye hekima tukasema hapana maneno yake. Basi ameamua mwenye kiti chake iwe darasa kwetu. 🌎😭 Ujumbe huu uwafikie wa Tz na wale mnaamini uwepo wa Mungu na msio amini ili mjuwe Kuna Mungu ktk Taifa la Tz.
 
Jiangalie, Masiha Kristo siyo mtani wako. Dhihaka dhidi ya masiha Kristo, nafsi ya Mungu, usidhani unamkera binadamu yeyote, bali tambua unajitengenezea hukumu.

'Nimepewa mamlaka yote Duniani na mbinguni'

'Yakobo umekuwa nami siku zote, hujamwona Baba? Hujui kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba? Ukiniona mimi, umemwona Baba'

Yatafakari maneno haya.
Ameen!!!!!
 
Jiangalie, Masiha Kristo siyo mtani wako. Dhihaka dhidi ya masiha Kristo, nafsi ya Mungu, usidhani unamkera binadamu yeyote, bali tambua unajitengenezea hukumu.

'Nimepewa mamlaka yote Duniani na mbinguni'

'Yakobo umekuwa nami siku zote, hujamwona Baba? Hujui kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba? Ukiniona mimi, umemwona Baba'

Yatafakari maneno haya.


Mkuu sometimes Mungu huwasamahe watu kama hawa, uwezo wao wakufikiri ni mdogo sana.

ni kama mtoto mdogo anavyojinyea unamhurumia nakumsafisha.
 
Tanzania itapata pigo. Hii nchi watu wanadhani ipoipo tu wanaweza kufanya watakavyo kisa wanamadaraka. Kwanini Mungu aliipatia Tanzania utajiri wa wanyama akaweka rundo Tanzania na si kwingine. Kwa nini nchi hii ina mito kibao, maziwa makuu na bahari wakati zingine hazina au zina kiduchu.
Kiongozi kuota mapembe na kudhani ukubwa ndo kila kitu.

Nini maana ya kuwa na Tanzania? Kuna kitu kinakuja. Hasira ya Mungu ikiwaka na uwa ni ghadhabu kubwa isiyo kifani. Kuna viongozi wanadhani wao ni wao. Ndipo Mungu ataisimamia Tanzania.

Mkuu mbona hatujafikia kua na kiongozi katil mpk mungu alete adhabu zake hapa [emoji23][emoji23][emoji23]au cjaelewa kinachoendelea
 
Ma
Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali.

Hii haitokuwa mara ya kwanza tofauti na watangulizi wa Taifa Hilo. Sisi wana kuona mbali wadogo kama sisimizi tusio na nguvu tumetumwa kuwaambia kama Taifa Mungu wa Taifa la Tz na Ardhi ya Tanganyika anasema hatokuwa naye na hata baada ya kauli ile yakuwa na mashaka ya aina Mungu yupo ama ayupo basi hatomuona ktk kiti chake nahuwenda kama alivyofanya mzaa ndivyo mwisho wa uongozi wake utakavyokuwa ktk kiti chake.

Mungu ataachia mzaa ktk kiti amekikalia kiasi mzaa huu utakuwa kweli ktk hali ya mzaa mbele ya watu wake wakati wa mchana ili Mungu aheshimiwe.

Je Mungu atadhihakiwa na mwanadam amwache lahasha hata history yake uwenda isitajwe maana Mungu hadhihakiwi na kamwe hatodhihakiwa.

Wewe umesema kama mtamkuta Yeye amekujibu sio mpaka Unikute nipo Hapa akavuta kiti pasipo kujuwa Nini umekisema ulipokaa ukaanguka wanajimu walipo kuja wakasema tumkimbize baharini 🤣 wenye hekima tukasema hapana maneno yake. Basi ameamua mwenye kiti chake iwe darasa kwetu. 🌎😭

Ujumbe huu uwafikie wa Tz na wale mnaamini uwepo wa Mungu na msio amini ili mjuwe Kuna Mungu ktk Taifa la Tz.
Mkojani Fc wanajitahidi kukusanya nguvu, mara kwenye mapango ya kule kisiwani, mara kanda ya ziwa kwenye mizimu ya Bujora, mara kwa waganga wa kienyeji mara kwa Mwamposa na Bahashaaaaaa kubwa, hadi mwisho nani bingwa?
 
Back
Top Bottom