Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
msilete habari za Mzena tafadhali sana na kipindi cha baridi kinapita hivyoMambo yanaazaga hivi hivi kimzaha mzaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msilete habari za Mzena tafadhali sana na kipindi cha baridi kinapita hivyoMambo yanaazaga hivi hivi kimzaha mzaha
Hayo ya mwana wa pekee ni maandiko ya Paulo na wapagani wa Roma,Musa na wayahudi wenzie wanajua Mungu Hana mwana,hiyo ni kufuru kwaoNionyeshe kwenye Maandiko ndo tuelewane.
Nionyeshe wapi Mungu aliwahi mtamkia Musa wazi kuwa ni Mwana wake Mpendwa, au Daudi, au Ezekiel?
Ukishindwa basi kubali hujui chochote kuhusu Biblia, nimeisoma Biblia tokea nikiwa mdogo so Niko hapa.
Thibitisha.
Nimetoa kwenye kitabu Cha Mathayo ambaye alikuwa mmoja wa Mitume 12 wa Yesu.Hayo ya mwana wa pekee ni maandiko ya Paulo na wapagani wa Roma,Musa na wayahudi wenzie wanajua Mungu Hana mwana,hiyo ni kufuru kwao
Architect wa yote hayo ni Paul,yesu hakufundisha yeye kuwa mwana wa Mungu,Mara Mungu,Mara Mungu pamoja nasi,jifunze historia ya biblia,kuandikwa kwake nkNimetoa kwenye kitabu Cha Mathayo ambaye alikuwa mmoja wa Mitume 12 wa Yesu.
Paulo hajaandika kitu kama hiki.
Mathayo 17:4-5
[4]Petro akajibu akamwambia Yesu, Bwana, ni vizuri sisi kuwapo hapa; ukitaka, nitafanya hapa vibanda vitatu, kimoja chako wewe, na kimoja cha Musa, na kimoja cha Eliya.
Then answered Peter, and said unto Jesus, Lord, it is good for us to be here: if thou wilt, let us make here three tabernacles; one for thee, and one for Moses, and one for Elias.
[5]Alipokuwa katika kusema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye.
While he yet spake, behold, a bright cloud overshadowed them: and behold a voice out of the cloud, which said, This is my beloved Son, in whom I am well pleased; hear ye him.
HUONI HAPO NI INJILI YA MATHAYO? AU UNAJITOA UFAHAMU?
THIBITISHA WAPI MUNGU ALIMUAMBIA MUSA WAZI KUWA NI MWANA WAKE, DAUDI KUWA NI MWANA WAKE NA EZEKIEL KUWA NI MWANA WAKE KWENYE MAANDIKO YA BIBLIA.
Hakuna kitu kama hicho, Kitabu Cha Mathayo hakuna Paulo, mwongo mkubwa.Architect wa yote hayo ni Paul,yesu hakufundisha yeye kuwa mwana wa Mungu,Mara Mungu,Mara Mungu pamoja nasi,jifunze historia ya biblia,kuandikwa kwake nk
We ndo yule mgumu kuelewa!!..haya yesu aliposema '...lakini nenda kawaambie ndugu zangu ya kwamba naenda kwa baba yangu ambaye ni baba yao,kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wao..' alimaanisha nini!?Hakuna kitu kama hicho, Kitabu Cha Mathayo hakuna Paulo, mwongo mkubwa.
Nionyeshe jina la Paulo katika kitabu Cha Mathayo.
Thibitisha Kwa kutumia Maandiko kama huwezi wewe ni mjinga, kubali hilo.
Wewe ndo mgumu kabisa wa kuelewa na inawezekana una low level of IQ.We ndo yule mgumu kuelewa!!..haya yesu aliposema '...lakini nenda kawaambie ndugu zangu ya kwamba naenda kwa baba yangu ambaye ni baba yao,kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wao..' alimaanisha nini!?
Nionyeshe wapi Mungu mwenyewe alimuita Musa Mwanangu?We ndo yule mgumu kuelewa!!..haya yesu aliposema '...lakini nenda kawaambie ndugu zangu ya kwamba naenda kwa baba yangu ambaye ni baba yao,kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wao..' alimaanisha nini!?
End of the roadNdugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali.
Hii haitokuwa mara ya kwanza tofauti na watangulizi wa Taifa Hilo. Sisi wana kuona mbali wadogo kama sisimizi tusio na nguvu tumetumwa kuwaambia kama Taifa Mungu wa Taifa la Tz na Ardhi ya Tanganyika anasema hatokuwa naye na hata baada ya kauli ile yakuwa na mashaka ya aina Mungu yupo ama ayupo basi hatomuona ktk kiti chake nahuwenda kama alivyofanya mzaa ndivyo mwisho wa uongozi wake utakavyokuwa ktk kiti chake.
Mungu ataachia mzaa ktk kiti amekikalia kiasi mzaa huu utakuwa kweli ktk hali ya mzaa mbele ya watu wake wakati wa mchana ili Mungu aheshimiwe.
Je Mungu atadhihakiwa na mwanadam amwache lahasha hata history yake uwenda isitajwe maana Mungu hadhihakiwi na kamwe hatodhihakiwa.
Wewe umesema kama mtamkuta Yeye amekujibu sio mpaka Unikute nipo Hapa akavuta kiti pasipo kujuwa Nini umekisema ulipokaa ukaanguka wanajimu walipo kuja wakasema tumkimbize baharini 🤣 wenye hekima tukasema hapana maneno yake. Basi ameamua mwenye kiti chake iwe darasa kwetu. 🌎😭
Ujumbe huu uwafikie wa Tz na wale mnaamini uwepo wa Mungu na msio amini ili mjuwe Kuna Mungu ktk Taifa la Tz.
🤷🤷🤷🤷🤷End of the road
😳😳😳🙆♀️End of the road
Unafufua Uzi siyo!End of the road
Manabii wa uongo
jf ina wapiga ramli
End of the road