Unabii baada ya kiongozi mmoja wa juu kubeza uwepo wa Mungu

Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali.

Hii haitokuwa mara ya kwanza tofauti na watangulizi wa Taifa Hilo. Sisi wana kuona mbali wadogo kama sisimizi tusio na nguvu tumetumwa kuwaambia kama Taifa Mungu wa Taifa la Tz na Ardhi ya Tanganyika anasema hatokuwa naye na hata baada ya kauli ile yakuwa na mashaka ya aina Mungu yupo ama ayupo basi hatomuona ktk kiti chake nahuwenda kama alivyofanya mzaa ndivyo mwisho wa uongozi wake utakavyokuwa ktk kiti chake.

Mungu ataachia mzaa ktk kiti amekikalia kiasi mzaa huu utakuwa kweli ktk hali ya mzaa mbele ya watu wake wakati wa mchana ili Mungu aheshimiwe.

Je Mungu atadhihakiwa na mwanadam amwache lahasha hata history yake uwenda isitajwe maana Mungu hadhihakiwi na kamwe hatodhihakiwa.

Wewe umesema kama mtamkuta Yeye amekujibu sio mpaka Unikute nipo Hapa akavuta kiti pasipo kujuwa Nini umekisema ulipokaa ukaanguka wanajimu walipo kuja wakasema tumkimbize baharini 🤣 wenye hekima tukasema hapana maneno yake. Basi ameamua mwenye kiti chake iwe darasa kwetu. 🌎😭

Ujumbe huu uwafikie wa Tz na wale mnaamini uwepo wa Mungu na msio amini ili mjuwe Kuna Mungu ktk Taifa la Tz.
Mungu yesu? Huyu huyu wa waliyemshindilia misumari pale yelusalamu? Takataka
 
1. Ni kheri uanguke huku ukieleweka unasimamia nini kuliko kusimama ukiwa kama mdoli.....wanakuendesha tu wanavyotaka.

2. Mungu wako pengine siyo wake. Mungu wao hao waliopita ambao hawajamdharau kama ulivyosema pengine siyo wake. Isitoshe rafsiri ya dharau ni pana sana na yenye utata; kuna maeneo ukianza kumuamkia tu mtu mzima 'shikamoo' bila kuanza na 'habari yako' unaonekana una matatizo ya kimaadili huku kuna maeneo mengine ukianza na 'habari yako' kabla ya 'shikamoo' unaonekana huna adabu.

3. Kamkana vp huyo Mungu? Tunaweza kupata ushahidi tafadhali?!!!
Kila mtu na dini yake anayoiamini! Mimi siwezi kuifuata yenu na ninyi hamuwezi kuifuata yangu !! 🙏🙏🙏
 
Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali.

Hii haitokuwa mara ya kwanza tofauti na watangulizi wa Taifa Hilo. Sisi wana kuona mbali wadogo kama sisimizi tusio na nguvu tumetumwa kuwaambia kama Taifa Mungu wa Taifa la Tz na Ardhi ya Tanganyika anasema hatokuwa naye na hata baada ya kauli ile yakuwa na mashaka ya aina Mungu yupo ama ayupo basi hatomuona ktk kiti chake nahuwenda kama alivyofanya mzaa ndivyo mwisho wa uongozi wake utakavyokuwa ktk kiti chake.

Mungu ataachia mzaa ktk kiti amekikalia kiasi mzaa huu utakuwa kweli ktk hali ya mzaa mbele ya watu wake wakati wa mchana ili Mungu aheshimiwe.

Je Mungu atadhihakiwa na mwanadam amwache lahasha hata history yake uwenda isitajwe maana Mungu hadhihakiwi na kamwe hatodhihakiwa.

Wewe umesema kama mtamkuta Yeye amekujibu sio mpaka Unikute nipo Hapa akavuta kiti pasipo kujuwa Nini umekisema ulipokaa ukaanguka wanajimu walipo kuja wakasema tumkimbize baharini 🤣 wenye hekima tukasema hapana maneno yake. Basi ameamua mwenye kiti chake iwe darasa kwetu. 🌎😭

Ujumbe huu uwafikie wa Tz na wale mnaamini uwepo wa Mungu na msio amini ili mjuwe Kuna Mungu ktk Taifa la Tz.
Bla bla hizi watu wanaua, wanateka na kulawiti kwa wingi n bado Mungu anawaacha na ni matajiri wana afyan njema na wanazidi kupata vyeo sembuse maneno tu.
 
Wewe umesema kama mtamkuta Yeye amekujibu sio mpaka Unikute nipo Hapa akavuta kiti pasipo kujuwa Nini umekisema ulipokaa ukaanguka wanajimu walipo kuja wakasema tumkimbize baharini 🤣 wenye hekima tukasema hapana maneno yake. Basi ameamua mwenye kiti chake iwe darasa kwetu. 🌎😭
Ingawa sioni hiki kikitokea, ila I can tell kuwa unayemuongelea ni huyo hapo.
 
Huyu bwana huwa yupo too general kiasi hakuna uthibitisho wa moja kwa moja na akisemacho.

Tumia akili MAGAMBA MATATU hawa husema kwa codes, ukifanikiwa kufungua codes hizo basi unakuwa na picha yote specifically.
Binafsi huwa nawaona kama wabahatishaji tu lkn Kuna ile code ya Bernard Membe msela alitujuza Hadi trh ya Membe atakayoondoka.
 
Jiangalie, Masiha Kristo siyo mtani wako. Dhihaka dhidi ya masiha Kristo, nafsi ya Mungu, usidhani unamkera binadamu yeyote, bali tambua unajitengenezea hukumu.

'Nimepewa mamlaka yote Duniani na mbinguni'

'Yakobo umekuwa nami siku zote, hujamwona Baba? Hujui kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba? Ukiniona mimi, umemwona Baba'

Yatafakari maneno haya.
ungeweka na reference kuna wanaofikiri umetunga maneno haya.
 
Back
Top Bottom