Unabii baada ya kiongozi mmoja wa juu kubeza uwepo wa Mungu

Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali.

Hii haitokuwa mara ya kwanza tofauti na watangulizi wa Taifa Hilo. Sisi wana kuona mbali wadogo kama sisimizi tusio na nguvu tumetumwa kuwaambia kama Taifa Mungu wa Taifa la Tz na Ardhi ya Tanganyika anasema hatokuwa naye na hata baada ya kauli ile yakuwa na mashaka ya aina Mungu yupo ama ayupo basi hatomuona ktk kiti chake nahuwenda kama alivyofanya mzaa ndivyo mwisho wa uongozi wake utakavyokuwa ktk kiti chake.

Mungu ataachia mzaa ktk kiti amekikalia kiasi mzaa huu utakuwa kweli ktk hali ya mzaa mbele ya watu wake wakati wa mchana ili Mungu aheshimiwe.

Je Mungu atadhihakiwa na mwanadam amwache lahasha hata history yake uwenda isitajwe maana Mungu hadhihakiwi na kamwe hatodhihakiwa.

Ujumbe huu uwafikie wa Tz na wale mnaamini uwepo wa Mungu na msio amini ili mjuwe Kuna Mungu ktk Taifa la Tz.
Kumbe Mungu ana moyo asee
Kumbe kuna Mungu wa Tz.

nani kaona moyo wa Mungu wana Jf?

Acheni kupiga stori zenu huko kisha mkaleta hapa habari za Mungu.
 
Yeremia 48; 1-29.

Pembe ya Moabu imekatika na mkono wake Moabu umevunjika, Moabu atagalagala katika matapishi yake naye atadhihakiwa. Astahiliye kutamalaki ni Mungu tu pekee.

Taifa teule la bwana Mungu liweje lidhihakiwe naye Moabu? Moabu anajihisi ana nguvu nyingi kuweza kulishinda jiwe la pembeni.

Lyrics from SDA wimbo inaitwa Mbona tujigambe ( Moabu )
 
Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali.

Hii haitokuwa mara ya kwanza tofauti na watangulizi wa Taifa Hilo. Sisi wana kuona mbali wadogo kama sisimizi tusio na nguvu tumetumwa kuwaambia kama Taifa Mungu wa Taifa la Tz na Ardhi ya Tanganyika anasema hatokuwa naye na hata baada ya kauli ile yakuwa na mashaka ya aina Mungu yupo ama ayupo basi hatomuona ktk kiti chake nahuwenda kama alivyofanya mzaa ndivyo mwisho wa uongozi wake utakavyokuwa ktk kiti chake.

Mungu ataachia mzaa ktk kiti amekikalia kiasi mzaa huu utakuwa kweli ktk hali ya mzaa mbele ya watu wake wakati wa mchana ili Mungu aheshimiwe.

Je Mungu atadhihakiwa na mwanadam amwache lahasha hata history yake uwenda isitajwe maana Mungu hadhihakiwi na kamwe hatodhihakiwa.

Ujumbe huu uwafikie wa Tz na wale mnaamini uwepo wa Mungu na msio amini ili mjuwe Kuna Mungu ktk Taifa la Tz.
Brother km nakuona jinsi unavyopiga uruzi huku ukiwa unakunya na mashuzi ya Nyegere ila jua kwamba yule Mama haambiliki hata mfanye nini yaan km anapuliza itakua anaiagiza kutoka mbali sana

Sasa wewe cha kufanya hio 'Sauti ya Mungu' tia mfukoni angalia Mambo mengine, km vipi fanya km ukakojoe tulale

Usiku mwema everybody!
 
Wewe umesema kama mtamkuta Yeye amekujibu sio mpaka Unikute nipo Hapa akavuta kiti pasipo kujuwa Nini umekisema ulipokaa ukaanguka wanajimu walipo kuja wakasema tumkimbize baharini 🤣 wenye hekima tukasema hapana maneno yake. Basi ameamua mwenye kiti chake iwe darasa kwetu. 🌎😭
 
Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali.
Asante sana kuileta hii, maana a emesoma hapa, ametubu na hakitatokea kitu chochote.
Mungu ibariki Tanzania
Amen
P
 
Tanzania itapata pigo. Hii nchi watu wanadhani ipoipo tu wanaweza kufanya watakavyo kisa wanamadaraka. Kwanini Mungu aliipatia Tanzania utajiri wa wanyama akaweka rundo Tanzania na si kwingine. Kwa nini nchi hii ina mito kibao, maziwa makuu na bahari wakati zingine hazina au zina kiduchu.
Kiongozi kuota mapembe na kudhani ukubwa ndo kila kitu.

Nini maana ya kuwa na Tanzania? Kuna kitu kinakuja. Hasira ya Mungu ikiwaka na uwa ni ghadhabu kubwa isiyo kifani. Kuna viongozi wanadhani wao ni wao. Ndipo Mungu ataisimamia Tanzania.
 
Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali.

Hii haitokuwa mara ya kwanza tofauti na watangulizi wa Taifa Hilo. Sisi wana kuona mbali wadogo kama sisimizi tusio na nguvu tumetumwa kuwaambia kama Taifa Mungu wa Taifa la Tz na Ardhi ya Tanganyika anasema hatokuwa naye na hata baada ya kauli ile yakuwa na mashaka ya aina Mungu yupo ama ayupo basi hatomuona ktk kiti chake nahuwenda kama alivyofanya mzaa ndivyo mwisho wa uongozi wake utakavyokuwa ktk kiti chake.

Mungu ataachia mzaa ktk kiti amekikalia kiasi mzaa huu utakuwa kweli ktk hali ya mzaa mbele ya watu wake wakati wa mchana ili Mungu aheshimiwe.

Je Mungu atadhihakiwa na mwanadam amwache lahasha hata history yake uwenda isitajwe maana Mungu hadhihakiwi na kamwe hatodhihakiwa.

Wewe umesema kama mtamkuta Yeye amekujibu sio mpaka Unikute nipo Hapa akavuta kiti pasipo kujuwa Nini umekisema ulipokaa ukaanguka wanajimu walipo kuja wakasema tumkimbize baharini 🤣 wenye hekima tukasema hapana maneno yake. Basi ameamua mwenye kiti chake iwe darasa kwetu. 🌎😭

Ujumbe huu uwafikie wa Tz na wale mnaamini uwepo wa Mungu na msio amini ili mjuwe Kuna Mungu ktk Taifa la Tz.
tumwombe Mungu afanye miujiza yake kuliokoa taifa la Tanganyika. tafadhali tuombe, tuombe tuombe. nimewaambia mara tatu. Mungu hujibu maombi.
 
Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii ni baada ya kiongozi huyo kukebei uwepo wa Mungu ktk moja ya kikao kikubwa cha kiserikali.

Hii haitokuwa mara ya kwanza tofauti na watangulizi wa Taifa Hilo. Sisi wana kuona mbali wadogo kama sisimizi tusio na nguvu tumetumwa kuwaambia kama Taifa Mungu wa Taifa la Tz na Ardhi ya Tanganyika anasema hatokuwa naye na hata baada ya kauli ile yakuwa na mashaka ya aina Mungu yupo ama ayupo basi hatomuona ktk kiti chake nahuwenda kama alivyofanya mzaa ndivyo mwisho wa uongozi wake utakavyokuwa ktk kiti chake.

Mungu ataachia mzaa ktk kiti amekikalia kiasi mzaa huu utakuwa kweli ktk hali ya mzaa mbele ya watu wake wakati wa mchana ili Mungu aheshimiwe.

Je Mungu atadhihakiwa na mwanadam amwache lahasha hata history yake uwenda isitajwe maana Mungu hadhihakiwi na kamwe hatodhihakiwa.

Wewe umesema kama mtamkuta Yeye amekujibu sio mpaka Unikute nipo Hapa akavuta kiti pasipo kujuwa Nini umekisema ulipokaa ukaanguka wanajimu walipo kuja wakasema tumkimbize baharini 🤣 wenye hekima tukasema hapana maneno yake. Basi ameamua mwenye kiti chake iwe darasa kwetu. 🌎😭

Ujumbe huu uwafikie wa Tz na wale mnaamini uwepo wa Mungu na msio amini ili mjuwe Kuna Mungu ktk Taifa la Tz.
huu muandiko wako wa mcharazo napata tabu sana kuelewa huu ujumbe wako mzito sana
 
Back
Top Bottom