Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

Sieger

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2022
Posts
3,180
Reaction score
7,521
Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki.

Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo atafanya makosa mawili kutokana na kupewa ushauri mbaya na watu wake anaowaamini waliopo kwenye uongozi wake.

Akifanya makosa mawili hasahasa kosa la pili katika tukio la pili, kutatokea na Upinzani mkubwa ndani ya chama chake na pia Upinzani utatoka nje kwake ambao itasababisha madhara katika safari yake ya uongozi mtukuka.

Atakayetaka kufuatilia ujumbe huu anaweza kumsikiliza hapa kwenye link nitakayotuma hapa.

Mimi simjui huyu Rais mwanamke mpaka sasa.

Link:
 
Mchawi bando

Aliyeiangalia anihadithie alichosema mtumish
 
Hatupaswi kuwabeza manabii, kinachoendelea EA hususani kwa nchi yetu kilitabiriwa, tunaye rais mwanamke na ayatendayo yameonekana wazi siyo mema.

Muda unaongea.
 
Kweli na Kuna mengi kazungumza katika video hiyo ya dakika kama 5 sema sikuandika maana TISS si watu wa kuwachezea ila alichokisema mwaka 2021 mwezi wa August inatosha kufahamu huyu Rais mwanamke kutoka Afrika ya Mashariki ni nani.
 
Mashimo hutanguliza zaka mbele, so ni rahisi yeye kupindisha unabii ili apokee mkwanja 🤣
Ujue hajamfatilia , Mimi huyu alitabiri kifo cha JPM mwaka 2019, Mimi sikuamini ila ilivotokea 2021, nikaanza kumfatilia, Kila anachosema kinatokea .
Ila uzuri wake huwa anasema Watu wakimuomba Mungu, Mungu anaweza kuepusha jambo, shida ni watu wakipuuzia.
 
Hatupaswi kuwabeza manabii, kinachoendelea EA hususani kwa nchi yetu kilitabiriwa, tunaye rais mwanamke na ayatendayo yameonekana wazi siyo mema.

Muda unaongea.
Hatuhitaji hata unabii kujua ,yanayotkoea, ayatendayo na jinsi anavyo yashughulikia ni ushahidi tosha kuwa tumepigwa na kitu kizito🤔inshort kiti kimepwaya,nchi Ina ombwe kubwa la uongozi wa juu wa nchi.
 
Back
Top Bottom