- Thread starter
- #21
Yeah Aisee Mungu amsaidie kwa kweli.Hata sasa mie ukiacha utabiri huo nilitaka kuandika humu kumu caution Mh Samia Suluhu Hassan kuwa makini, hii suala la DP w linaweza kuwa makusudi wameanua kumpoteza kabla ya Uchaguzi wa 2025. Hasa watu wa chama chake wanaoutaka Urais