Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

Akifanya makosa mawili hasahasa kosa la pili katika tukio la pili, kutatokea na Upinzani mkubwa ndani ya chama chake na pia Upinzani utatoka nje kwake ambao itasababisha madhara katika safari yake ya uongozi mtukuka.
Naomba kuuliza alishafanya kosa hata moja ili tuanze kutafakari mapema nini kitakachojiri hapo baadae...
 
I don't know brother, inategemea na perceptions za watu wengi kama atafanya kosa.
Inawezekana mwingine akaona sio kosa , mwengine akaona ni kosa, ila ikiwa watu wengi wakaona the same thing, ujue Kuna shida .
 
Hatuhitaji hata unabii kujua ,yanayotkoea, ayatendayo na jinsi anavyo yashughulikia ni ushahidi tosha kuwa tumepigwa na kitu kizito🤔inshort kiti kimepwaya,nchi Ina ombwe kubwa la uongozi wa juu wa nchi.
Na kibaya zaidi watetezi wanajificha kwenye kichaka cha ushauri mbaya wa washauri ilhali ni dhahiri shairi kiti hakina mtu (incompitence)
 
I don't know brother, inategemea na perceptions za watu wengi kama atafanya kosa.
Inawezekana mwingine akaona sio kosa , mwengine akaona ni kosa, ila ikiwa watu wengi wakaona the same thing, ujue Kuna shida .
Hayo nayo yatapita tu nothing big deal everything happened for a reason, So there’s nothing to complicate about at all...
 
I don't know brother, inategemea na perceptions za watu wengi kama atafanya kosa.
Inawezekana mwingine akaona sio kosa , mwengine akaona ni kosa, ila ikiwa watu wengi wakaona the same thing, ujue Kuna shida .
Bro mimi hata kabla ya leo wewe kuleta hii juzi tulikaa sehemu wadau wakawa wanajadili possibility ya mama kupotoshwa ili 2025 atemwe. Kwakuwa ukizingatia hakukua na haja ya kuendelea na mkataba hata kama upo sahihi baada ya kelele kama Rais ningekuwa mshauri wake ningemwambia ustishwe ajipe muda kwamza wakuuangazia.

Ila kupita kama vile hasikii kinachoendelea hata kama (mkataba upo sahihi) inamuharibia.

Kwa mfano kwa jicho pana (aliandika Yericko Nyerere) nikaona Ina mantiki. Mwarabu hawezi iendeleza Dar kwa kiwango hicho tunachodhani kwakuwa kufanya hivo nikuiua bandari ya Dubai ambayo saizi ni lango kuu kwa Afrika, wakati East Afrika ni more strategic kuliko Dubai. Hivo ukiendeleza Dar es salaam ni kama kuiua dubai. Hivo Dubai ana hodhi hizi bandari zisikue kwa kiwango cha kutishia bandari ya Dubai. Hivo kwasasa ilikuwa sahihi kuwapa kipaumbele wawekezaji kama wa kichina kuliko waarabu.
 
Dah umeongea kitu aisee, sikukiwaza . Kama kweli basi hii ni vita ya kiuchumi.

Kweli na Kuna mengi kazungumza katika video hiyo ya dakika kama 5 sema sikuandika maana TISS si watu wa kuwachezea ila alichokisema mwaka 2021 mwezi wa August inatosha kufahamu huyu Rais mwanamke kutoka Afrika ya Mashariki ni nani.
Mnaotunza kumbukumbu vizuri, hv tarehe hiyo huyo kiongozi mwanamke alikuwa bado hajapatikana huko ea?!!!! Alitabiri nn sasa?

Hii ni mada ya haters na wenye stress, wenye utulivu tuendelee na mada zinazojenga!!
 
Ilikuwa tarehe 22 August 2021, ok Rais huyu mwanamke wa Afrika Mashariki aliapishwa kabla ya mwezi wa 8 au baada ya mwezi wa 8?
Alafu huu Uzi haumchukii mtu yeyote ila una nia njema ya kumuombea kwa Mungu huyu Rais mwanamke wa Afrika Mashariki aweze kufanya maamuzi sahihi pale atakaposhauriwa na wengine.
Tazama kwanza hii video mkuu usiwe emotional sana.
 
Bro mimi hata kabla ya leo wewe kuleta hii juzi tulikaa sehemu wadau wakawa wanajadili possibility ya mama kupotoshwa ili 2025 atemwe. Kwakuwa ukizingatia hakukua na haja ya kuendelea na mkataba hata kama upo sahihi baada ya kelele kama Rais ningekuwa mshauri wake ningemwambia ustishwe ajipe muda kwamza wakuuangazia.

Ila kupita kama vile hasikii kinachoendelea hata kama (mkataba upo sahihi) inamuharibia.

Kwa mfano kwa jicho pana (aliandika Yericko Nyerere) nikaona Ina mantiki. Mwarabu hawezi iendeleza Dar kwa kiwango hicho tunachodhani kwakuwa kufanya hivo nikuiua bandari ya Dubai ambayo saizi ni lango kuu kwa Afrika, wakati East Afrika ni more strategic kuliko Dubai. Hivo ukiendeleza Dar es salaam ni kama kuiua dubai. Hivo Dubai ana hodhi hizi bandari zisikue kwa kiwango cha kutishia bandari ya Dubai. Hivo kwasasa ilikuwa sahihi kuwapa kipaumbele wawekezaji kama wa kichina kuliko waarabu.
Madam wetu, president, Samia Suluhu Hassan, ni mtu anayejiamini na sidhani kamwe kama anaweza kubadili msimamo kaa jambo jema kwa nchi kisa makelele ya shetani kadhaa waovu. Isitoshe, the strongest man in the world is he who stands alone!
 
Back
Top Bottom