Unabii wa Godbless Lema kwa Dkt. Pima umetimia mapema sana

Unabii wa Godbless Lema kwa Dkt. Pima umetimia mapema sana

SHKAMOO MHE. "NABII" GODBLESS LEMA !
Kati ya viongozi wa upinzani wote, huyu Mshkaji akiwa anaongea, huwa naacha kila kitu ili kumsikiliza.

"Nabii" Lema ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na hutabiri yatakayojiri

"Wewe Dr. Pima umeshiriki wizi wa kura kwenye huu uchaguzi mkuu na umemkasirisha Mungu. Unadhani umemuibia Lema lakini hujaniibia mimi. Mwisho wako hautakuwa mzuri na Mungu atanilipa".
Mhe. LEMA, Novemba 17. 2020

NB: hili andiko sio langu
Lema mwenyewe ndio kaleta huu upupu hapa
 
🤣🤣🤣lema former car thief
Ana unabii gani?
Anatembeleaga tu matukio
 
Back
Top Bottom