Unabii wa Godbless Lema kwa Dkt. Pima umetimia mapema sana

Unabii wa Godbless Lema kwa Dkt. Pima umetimia mapema sana

SHKAMOO MHE. "NABII" GODBLESS LEMA

Kati ya viongozi wa upinzani wote, huyu Mshkaji akiwa anaongea, huwa naacha kila kitu ili kumsikiliza.

"Nabii" Lema ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na hutabiri yatakayojiri

"Wewe Dkt. Pima umeshiriki wizi wa kura kwenye huu uchaguzi mkuu na umemkasirisha Mungu. Unadhani umemuibia Lema lakini hujaniibia mimi. Mwisho wako hautakuwa mzuri na Mungu atanilipa".

Godbless Lema, Novemba 17. 2020

NB: hili andiko sio langu
Badhi ya Tabiri ambazo zilikuja kuacha watu midomo wazi ni kuhusu
1. Hayati
2. Rc wa Dar
3. Dc wa Hai
4. Spika wa Dodoma
 
Anafata nyayo za Dr slaa ,dr kapwani aligombea ubunge isimani bwana ,dakika chache kupita baada ya kupitishwa akashkishwa unlock na lukuvi

Balozi padri Dr slaa
Akafunga wiki TU ,kapwani alichokipata Siri yake
Hehehe
 
Acheni kutisha watu nyie. Lema ni nabii wa CHADEMA.. ni muda wa CHADEMA kubadili gia angani na kuwa taasisi ya kidini kwasababu wana Nabii wa kuanza nae.
 
SHKAMOO MHE. "NABII" GODBLESS LEMA

Kati ya viongozi wa upinzani wote, huyu Mshkaji akiwa anaongea, huwa naacha kila kitu ili kumsikiliza.

"Nabii" Lema ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na hutabiri yatakayojiri

"Wewe Dkt. Pima umeshiriki wizi wa kura kwenye huu uchaguzi mkuu na umemkasirisha Mungu. Unadhani umemuibia Lema lakini hujaniibia mimi. Mwisho wako hautakuwa mzuri na Mungu atanilipa".

Godbless Lema, Novemba 17. 2020

NB: hili andiko sio langu
Mwisho wake yeye NABII ni lini na utakuwaje?
 
Unaandika kana kwamba kila mtu anamjua huyo Pima na kilitokea nini kati yake na Godbless Lema na sasa kumetokea kitu gani kuonesha kuwa unabii umemtimia..

Tafadhali weka taarifa yako ikae vizuri...
Duh Pole sana
 
Back
Top Bottom