Unabii wa Godbless Lema kwa Dkt. Pima umetimia mapema sana

Unabii wa Godbless Lema kwa Dkt. Pima umetimia mapema sana

SHKAMOO MHE. "NABII" GODBLESS LEMA

Kati ya viongozi wa upinzani wote, huyu Mshkaji akiwa anaongea, huwa naacha kila kitu ili kumsikiliza.

"Nabii" Lema ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na hutabiri yatakayojiri

"Wewe Dkt. Pima umeshiriki wizi wa kura kwenye huu uchaguzi mkuu na umemkasirisha Mungu. Unadhani umemuibia Lema lakini hujaniibia mimi. Mwisho wako hautakuwa mzuri na Mungu atanilipa".

Godbless Lema, Novemba 17. 2020

NB: hili andiko sio langu
Daaaah .. Lema ni mtu na nusu
 
Duh Pole sana
Aaah ndugu Elli, pole ya nini sasa?

Hakukuwa na ubaya wowote kama angeweka background fupi ya tukio analolisimulia ili hata waliosahau au ambao hawajawahi kufuatilia kabisa kisa cha Pima na Lema wapate picha ya kilichotokea huko nyuma..

Hivyo ndivyo ambavyo hufanyika ktk ku - ripoti story inayosimulia tukio lolote lenye mwendelezo flani.....
 
Naam Kaka, nilifanya hivyo! Hakuna shaka, Asante
 
Back
Top Bottom