Unabii wa Godbless Lema kwa Dkt. Pima umetimia mapema sana

KaVideo Tafadhali
 
Lema akikutabiria mabaya ni kwenda tu kumuona ili ujue utafanyaje ili kujinusuru ila ukikaza kichwa utapatwa kweli na mabaya aliyokutabiria. Huyu jamaa ana karama ya kujua mabaya yatakayompata mtu aliyefanya uovu hapo awali
 
Karma
 
Eti NABII kabisa lema Mmachame wa Masama mwee!
 
Unaandika kana kwamba kila mtu anamjua huyo Pima na kilitokea nini kati yake na Godbless Lema na sasa kumetokea kitu gani kuonesha kuwa unabii umemtimia..

Tafadhali weka taarifa yako ikae vizuri...
 
Anafata nyayo za Dr slaa ,dr kapwani aligombea ubunge isimani bwana ,dakika chache kupita baada ya kupitishwa akashkishwa unlock na lukuvi

Balozi padri Dr slaa
Akafunga wiki TU ,kapwani alichokipata Siri yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…