Aaah ndugu
Elli, pole ya nini sasa?
Hakukuwa na ubaya wowote kama angeweka background fupi ya tukio analolisimulia ili hata waliosahau au ambao hawajawahi kufuatilia kabisa kisa cha Pima na Lema wapate picha ya kilichotokea huko nyuma..
Hivyo ndivyo ambavyo hufanyika ktk ku - ripoti story inayosimulia tukio lolote lenye mwendelezo flani.....