Kuhusu Lema kama ingekuwa ndio zile ngonjera za kuitana Mungu au ni zaidi ya Yesu kama alivyotamka yule sheikh Alhad wa Dar es salaam basi huyu angeitwa hayo majina maana anafit kujinasibu kwa madhira ya kuwahadaa wananchi.

Lakini naamini Lema ni mtu mwenye maono anatumia common sense ambayo ukiitumia hautaona ni masia Bali no upeo wa kibinadanu ambao sote tulipaswa kuwa nao ili itusaidie kuishi haya maisha ya kila siku.

Bahati mbaya mafunzo yanaonekana Ila bado wengi wetu hatujifunzi haya maonyo anayotoa Lema kama kiongozi mwenye busara ya kibinadanu.
 
Yani hilo la jiwe daaah! Huyu ni nabii kabisa.Et walimkamata kisa unabii wake,yapo wapi sasa?
 
Yani hilo la jiwe daaah! Huyu ni nabii kabisa.Et walimkamata kisa unabii wake,yapo wapi sasa?
Lema akipata promo anaweza kufungua kanisa na kwa akili zetu Africa atavutia wengi.
 
Pia Lema ni mwanahistoria mzuri wanajua yajayo kwa akuoitia yaliyopita.

Lissu alituonya mapema sana wiki moja baada ya Jiwe kuapa akatwelez Magufuli atakuwa Dikteta wa kutisha tujiandae kwa maumivu. Yaliyotokea sote ni mashahidi
Jiwe akuwahi soma somo la historia angesoma angejifunza kuhusu historia za tawala mbalimbali zilizoanguka.
Rise and fall of kingdoms hii topic ya form 3 ingemfaa Sana.
 
Lema ni zaidi ya T.B Joshua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…