Ukiandika kizungu cha ugoko eti ndio unajionaa, ha ha ha upuuzi mtupu. Tunasubiri shimo la jamaa yako, na siku sio nyingi zijazo.
Unalinganisha mbuyu na mchicha? Huyu wetu ni nabii tu, wenu aliyesepa alikuwa mungu wenu! Pengo mlilopata haliwezi kulinganishwa na yeyote!
Kuhusu kidhungu, ni Sawa tu, Kiswahili chenyewe najifunza, mimi ni Maasai, Bwashee!
 
Maono gani wakati usiku mchana fisadi wenye uwezo wamekua wanapanga kumwangamiza sabaya kwa namna alivyowajibika kwa maslahi ya umma. Wasichojua wanamapinduzi kama sabaya wamejitoa kwa maslahi ya umma. Hata lema alivyokua anamtabiria jpm kifo sio maono. Fisadi wasiompenda walijua tatizo lake la moyo wakawa wanapeana matumaini ya mwisho wake. Bahati na kwa uwezo wa mungu jpm akaishi kuliko matarajio yao.
 
Alitabiri kwamba Magufuli watamsau mapema sana na kweli wameanza kujitokedha adharani kupinga falsafa zake.

Ogopa sana njaa iliyokimbilia kichwani
 
Philosophy ya Lema anajua kuitumia kwenye njia nyingi hasa kwenye hoja
 
Mungu mbariki Nabii wako Lema
 
🤣🤣🤣Mungu ni mkali wa kuadhibu. Aliua wengi sasa yako wapi?
 
Vifo vingine ni vya kawaida tu, lakini ninyi wafiwa mmeachwa vibaya, hata mjitieje moyo, mume wenu kasepa zake na harudi!
Huyo jamaa alikuwa anaandika .. "kila goti litapigwa kwa Magufuli"!Tukawaambia hiyo ni kufuru kwa Mungu na wala hawakutuelewa.Yamewakuta wao na shangazi zao.😂😂😂😂
 
Kumhusisha Sabaya na uanamapinduzi, kunaoneshi jinsi ambavyo chama chenu kimeenda mbali na Mapinduzi! Kwa taarifa yako, Sabaya ameshitakiwa na jamuhuri ya Muungano ya Tanzania, kwa makosa ya rushwa, utakatishaji pesa haramu, ujambazi, kutengeneza genge la uhalifu na kuna tuhuma za ubakaji!
Sabaya ni mmoja kati ya samaki walio katika kapu la Mapinduzi, ambao wameoza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…