Tunasubiria kwa hamu yatimie kwa Ndungai. Ewe Mwenyezi Mungu tufanyie wepesi tuondolee huyu mbilikimo.
 
Duh!! Tatataka kabisa

Bora kaondoka

Ila mama awe makini na Ndungai naye ni hatari kwa usalama wa taifa ili

Impeachment ingemfaa sana na yeye
Hii ya Ndungai mama amuache tu Mungu wetu atamalizana naye kimtindo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mie Lema namuogopa rasmi kuanzia leo..ana nini huyu kaka?
Ndio maana tukaambiwa tuwape watoto wetu majina mazuri, GODBLESS. Amebarikiwa na Mungu huyo tayari. Eti unamwita mtoto MUSIBA si utakuwa Msiba. Majuto utakija jijuitia. POMBE itakuja kuwa kali iuwe watu. SHAKA, ujinsia wake utakuwa wa mashaka. KABUDI ndio Kabugi naye. Polepole na fikira zake zitakuwa slow pia.
 
Pole sana mkuu Mungu amejibu maombi
 
Bado wa Ndugai
 
Lema ni mcha Mungu wa kweli siyo hawa wanaojitangaza wacha Mungu na huku wanaua watu!
 
Ila hili lina ukweli...Asante Mama kunipa jina linaloendana na baraka nazopata kwakweli...khaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…