Unadhani kwanini Tanzania hii, safu ya matajiri imetawaliwa na waajemi?

Private interest! Ambayo kwa lugha ya kawaida ni selfishnes. Ni vigum sana jambo moja liendeshwe na watu wengi kwa common interest Afrika. Ngum mnooo, mm pia shuhuda wa hili. Bora tukose wote kuliko tufanye kwa faida ya wote
Hiyo bora tukose wote ndio inaturudisha nyuma, kwahivyo tuwaache waajemi waendeleze biashara zao na kukuza pato la nchi tu! Maana kujumuika wenyewe kwa wenyewe hatuwei zaidi ya kuitana wezi au tumetoa kafara! Nchi ngumu sana hii..
 
Uzamani ni mwingi! Nakomaa sio siri!simuombi mia yake!!
Huyo amerithi mawazo ya mababu, hiyo inaitwa long term fatalism. Hata mm mzee wangu ana mawazo kama hayo!. Sehem kama hizo umaskini na hisia za uchawi ni kubwa sana kwa vijana wa kizazi kipya
 
Basi labda ana ile dhana ya wakike hupeleka uumeni mali.... Ila komaa muoneshe kama unaweza
Kama hahis kuwa anaqeza kuwa na shauku ya kukontoo maisha yake aendelee kupruvu. Ila kama anahisi hamuelewi elewi ajikatae kabisa wasionane
 
Hiyo bora tukose wote ndio inaturudisha nyuma, kwahivyo tuwaache waajemi waendeleze biashara zao na kukuza pato la nchi tu! Maana kujumuika wenyewe kwa wenyewe hatuwei zaidi ya kuitana wezi au tumetoa kafara! Nchi ngumu sana hii..
We fight against posibilities
 
Huyo amerithi mawazo ya mababu, hiyo inaitwa long term fatalism. Hata mm mzee wangu ana mawazo kama hayo!. Sehem kama hizo umaskini na hisia za uchawi ni kubwa sana kwa vijana wa kizazi kipya
Mungu aniepushie mbali! Nimewahama kabisa wakae huko kivyao watajua wenyewe!
 
wasomali pale Kenya!!!tatizo la ukabila pale Kenya ilibidi wageni wapewe uchumi kupush uchumi wa nchi!!na mambo hayo ni sera Siri za pale Kenya tangu wapate uhuru!!!pia wezi wanawatumua kutakatisha mapesa hapo kenya!!

Nafikiri TU!!!
 
Unajua kwann kampuni zinavalue Coorporate social responsibility?. Unataka kusema CSR plan inaweza kutumika kama sifa ya kupata mkopo au mm sijaelewa hoja yako?

Yani bahresa akopeshwe kirahisi sababu anatoaga kisaada kwa maskini kwani kakopa kama NGO?

WHO ELSE ARGUE WITH YOU?
 
And we end up limiting ourselves!
😁 mama kapiga hesabu zake anaona kabisa anapata jibu '2' sasa mbili huu hajajua vizuri kama ni hasi au chanya ndo kaamua kuachana na hesabu yenyewe
 
Point namba moja kama ulivopanga is the main point . Bongo akipiga utajuan tu , kwa usawa huu wa mitandao lazima wapost wana pesa ..Bongo washamba sana , akiwa na pesa anajulikana wakati wenzie wanaficha kwenye inestments .
 
😁 mama kapiga hesabu zake anaona kabisa anapata jibu '2' sasa mbili huu hajajua vizuri kama ni hasi au chanya ndo kaamua kuachana na hesabu yenyewe
Mkuu, we acha tu nakwmabia!
 
Wanatunza siri, wanawalinda wale wanaowapa koneksheni-kutoa salio, wanajua kutembea kwenye mfumo uliopo au utakaokuja, wanawatunzia mali waliopo kwenye mamlaka, sisi kwa sisi hatutaki wewe upate- unawekewa mazingira magumu ya biashara.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…