Hoja yako sijaielewa. Mimi naungabmkono vyama vya ushirika.Vyama vya ushirika si tokelo la Nyerere la idea za kijamaa? Alichoangalia sana pale ni majority ambao ni peasant na workers class. Enzi za ukoloni Wahindi walikuwa tabaka la pili wale, katika vyanzo vyako vya maarifa ilikuaje hawa watu wakadominate biashara na kutajirika nazo katika nyakat tofauti
Leo hii hata ukiangazia, vyama vya ushirika vinashindwa kuitetea bei ya mbele ya midle man. Mhindi anapanga bei anaondoka na mzigo kwa mkopo. Vyama vya ushirika vilisaidia nn zama hizo katika kumuinua mtu mweusi
Mkuu nikisema mtazamo wa kufikiri najiuliza tu maswali, ndani ya wiki hii kuna marais wawili wa nchi jirani wana ziara hapa kwetu Tanzania na wengi wetu hatujiulizi wamekuja kufanya nini? Hii inatosha kusema bado tumelala.Wengi wanaosema hovyo ni wahuni tu.
TZ siyo sleeping giant, ila nadhani haitaki kukurupuka.
Ukifika Afrika Kusini, Kenya ndio utajua kwanini ni sahihi TZ kuwa ilivyo
Kenya matajiri wakubwa ni wanasiasa waliogawana keki ya nchi baada ya uhuru.Kenya matajri wakubwa wengi ni wazawa wenye asili ya kenya?
Unaskia kutoka kwa nani mkuu?Hao jamaa nasikia kwao huko wanapewa mtaji wachague nchi za Africa kuja kuuzalisha na kuuzidisha na wakishindwa wananyongwa kimya kimya na familia zao wenyewe
Ipo hivi familia ikishauza mafuta kwenye visima vya ukoo vyao, wanamchagua mmoja wao na wanampa pesa yote na kwa mkataba wa kifamilia yaani asiifanyie ujinga hiyo pesa na huwa anachagua nchi yeyote ya Africa kuja kuuzalisha hiyo pesa
Ikitokea kafilisika wanamdunga sumu anakufa alaf anazikwa na watu wachache tu, kama familia inamkataa hivi
Duniani koteUnaskia kutoka kwa nani mkuu?
Tunarudi kwenye common interest, wakati hao wametoboa kwenye private interest. Faida na maslahi ya pamoja haiwez kumtajirisha mtu mmoja mmoja, hao jamaa hapo juu wametok kwenye mitazamo ya maslahi binafsiHoja yako sijaielewa. Mimi naungabmkono vyama vya ushirika.
Ila vilikosa nguvu kwasababu ya rushwa na ukabila.
Vyama vya ushirika ni muhomu kwasababu vinaunganisha nguvu na mitaji
Ziara za marais ni kitu cha kawaida.Mkuu nikisema mtazamo wa kufikiri najiuliza tu maswali, ndani ya wiki hii kuna marais wawili wa nchi jirani wana ziara hapa kwetu Tanzania na wengi wetu hatujiulizi wamekuja kufanya nini? Hii inatosha kusema bado tumelala.
Ndio maana mimi ni muumini wa ushirika.Tunarudi kwenye common interest, wakati hao wametoboa kwenye private interest. Faida na maslahi ya pamoja haiwez kumtajirisha mtu mmoja mmoja, hao jamaa hapo juu wametok kwenye mitazamo ya maslahi binafsi
Kuna namna wazo la kutaka kuajira, kukimbia risky na kuishi maisha yenye uhakika wa kula limefelisha familia nyingi katika safar ya utajiri.Hao Jamaa uliowaweka hapo juu karibu wote biashara wameanza miaka mingi Sana iliyopita yaani familia zao zimeanza kitambo Sana biashara toka miaka ya Nyerere na mwinyi, from very humble beginning,, ngoja nikupe Stori yetu.
Babu yangu Mimi alikuwa anafanya biashara na miongoni mwa ndugu wa Jamaa mmoja hapo juu, Sisi ukoo wetu Kila mtu alikuwa anaanza upya ila wao walikuwa wanapokezana na kubebana, wao walikuwa na mashine za kusaga nafaka na Sisi pia tulikuwa nazo miaka hiyo, wenzetu walikuwa wanasogea mbele, Kipindi kile mashine za kusaga zilikuwa ni kama viwanda vidogo huko wilayani maana unakuta mkoa mzima hazifiki ishirini so soko lilikuwepo kubwa, kilichotokea sisi tukaachwa na mashine zetu pale pale ,wenzetu wakatoka huko wakaanza kuwa na mills za nafaka sasa hatimaye maviwanda makubwa na wakahamia mijini,
Babu yangu biashara ilimshinda licha ya kuwa na wateja wengi maana hakuna wa kumrithi Kila mmoja anakimbilia ajira za serikali za Nyerere na mwinyi wanaogopa risks, wengine hawataki biashara, probably na Sisi tungekuwa hapo juu maana kuna familiar face hapo juu baba Yao alianza na Babu yangu pamoja kule kijijini, nikienda kijijini historia yetu Hadi Leo ipo but We were absolutely fuc*kin morons
Kuna wasomali nilipewa Stori zao nao ,walipokelewa na Babu yangu kabisa na akawapa hifadhi na maeneo ya mashamba kwaajili ya kuanza maisha maana walitoka Somalia huko hawana kitu hata nguo hawana, guess what!, wasomali wale descendants wao wako Dar, Tanga na Zanzibar Wana biashara kubwa za logistics, energies na majumba, they had nothing by then...
Yaani kuna kitu tuna miss. Sometimes unaweza kudhani kama tuna laana au IQ ndogo.
Project hiyo inalenga kumnufaisha nani kwa dodoso uliloliskia?Waliletwa na Rais mwinyi ktk mkakati wa miaka mingi wa islamization of Tanzania
Km ilivyo Nigeria
Km ilivyofanikiwa Sudan
Na utajikuta libunge linakenua meno tu linapipewa uwazir hawajui wenzao wapo kwenye project ya muda mrefu
Nafikiri labda pia kwa sababu hizi jamii za kutoka Asia na Wasomali wanajua hawana chao kwenye ajira za serikalini maana sio rahisi wao kuajiriwa huko hasa kwenye nafasi za juu ndio maana huwa wanakomaa zaidi na sekta binafsi.Hao Jamaa uliowaweka hapo juu karibu wote biashara wameanza miaka mingi Sana iliyopita yaani familia zao zimeanza kitambo Sana biashara toka miaka ya Nyerere na mwinyi, from very humble beginning,, ngoja nikupe Stori yetu.
Babu yangu Mimi alikuwa anafanya biashara na miongoni mwa ndugu wa Jamaa mmoja hapo juu, Sisi ukoo wetu Kila mtu alikuwa anaanza upya ila wao walikuwa wanapokezana na kubebana, wao walikuwa na mashine za kusaga nafaka na Sisi pia tulikuwa nazo miaka hiyo, wenzetu walikuwa wanasogea mbele, Kipindi kile mashine za kusaga zilikuwa ni kama viwanda vidogo huko wilayani maana unakuta mkoa mzima hazifiki ishirini so soko lilikuwepo kubwa, kilichotokea sisi tukaachwa na mashine zetu pale pale ,wenzetu wakatoka huko wakaanza kuwa na mills za nafaka sasa hatimaye maviwanda makubwa na wakahamia mijini,
Babu yangu biashara ilimshinda licha ya kuwa na wateja wengi maana hakuna wa kumrithi Kila mmoja anakimbilia ajira za serikali za Nyerere na mwinyi wanaogopa risks, wengine hawataki biashara, probably na Sisi tungekuwa hapo juu maana kuna familiar face hapo juu baba Yao alianza na Babu yangu pamoja kule kijijini, nikienda kijijini historia yetu Hadi Leo ipo but We were absolutely fuc*kin morons
Kuna wasomali nilipewa Stori zao nao ,walipokelewa na Babu yangu kabisa na akawapa hifadhi na maeneo ya mashamba kwaajili ya kuanza maisha maana walitoka Somalia huko hawana kitu hata nguo hawana, guess what!, wasomali wale descendants wao wako Dar, Tanga na Zanzibar Wana biashara kubwa za logistics, energies na majumba, they had nothing by then...
Yaani kuna kitu tuna miss. Sometimes unaweza kudhani kama tuna laana au IQ ndogo.
Tupo tunasoma na kujifunza.Nje ya mada,
Hivi kwa nini mada kama hizi,hawa Dada zetu wa JF hua sio wachangiaji?
Sio kweli.Watu wengi wanaoitumia jf 'for fun' huwez kuwaona hapa. Wengi wao ni hao
Sawa,Lakini na sisi tunahitaji kusikia mawazo yenu pia.Tupo tunasoma na kujifunza.
Halafu Kuna watu wanasoma na kwenda kufanyika kazi hayo mnayojadili. Pengine ndio kundi la hawa wadada