Unadhani Mashahidi wanne ambao wameombwa kulindwa wasitajwe na Kibatala kesi ya Mbowe ni wakina nani?

Sasa kama Mahakama imeombwa wasitajwe sisi ni nani wa kuwataja?
Uoni kwamba JF inatumiwa na watu kuingilia ushaidi /kesi inayoendelea?
Kwa mfano wakikurupuka watu hapa bila kujua na kuwataja huoni kuwa usalama wa watu hao uko hatarini?
 
Mawakili wameomba mashahidi wasitajwe mahakamani...

Halafu wewe unataka watu wakisie majina yao na wawataje huku JF...

Je, JF itapigania usalama wa raia ambao mahakama imeona si busara kujulikana??
Kwa kweli hata mimi sijamuelewa muanzisha uzi huu..
 
Mathayo 4:4 Mtu hataishi kwa mkate tu, ...

Duniani lazima wawepo watu kama Mbowe, Lissu, n.k. Aidha, thamani halisi ya binadamu ni zaidi ya ukwasi wake. Katika Maslow's hierarchy of needs watu wa maana hupania kufikia hatua ya SELF-ACTUALIZATION.
 
Hii kesi utawatoa jasho hao mawakili was serikali na mashaidi wao Mana mengi yanaenda kufimuliwa.
 
Uwongo wa polisi unakaribia kuanikwa hadharani.
 
Hoja yako ni nzuri sana kiongozi
Mbali na mapungufu ya Jpm bado alionesha kujali na kuwa na matamanio ya maendeleo.

Maendeleo sio kitu chepesi kuna gharama yake, hata katika familia inawezakufikia hatua baba unachukiwa kwa upungufu wa mhitaji fulani kisa unahitaji kutimiza lengo fulani.

Shida tupeta kiongozi mwepesi alafu nyima yake kuna watu wana ajenda za uchuwa uongozi, pesa n.k
 
Wewe ujui tsbia za watu kama magufuli mm nakuambia chini ya magufuli katiba ingepatikani tena nzuri isiyo na unafiki
 
Ukiwa na moyo safi na ukawa kiongozi wa juu ndiyo utajua hii nchi ilifikia wapi kwenye uchafu magufuli alikuwa anapambana na waharifu wakubwa mno kumbuka kabla ya korona tulizushiwa kuficha ugonjwa wa dhika walivyo shindwa wakazusha kuwa ebora nayo ikashindwa ndipo ulipo kuja ukonjwa wa korona hii ndiyo ilimfanya magu kutumia mbinu za kivita katika kila anacho fanya kupambana na waharifu waliojivisha vazi la kondoo
 
Magufuli hakuwa na mapungufu wanayo msema ila kuna vita ilikuwa anapambana nayo kwa jicho la uraisi mfano unajua kuwa nchi ya pili kwa tanzanite ilikuwa ni kenya sasa nikuulize wewe unadhani hayo hayakuwa yanaratibiwa na serikali ya kenya pamoja na mafisadi wa kimataifa kuna vita kubwa magufuli alikuwa anapigana nayo kwa maslai ya taifa pasipo watu kujua
 
Acha ujinga ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…