Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Sasa kama Mahakama imeombwa wasitajwe sisi ni nani wa kuwataja?Hali imebadilika mahakamani baada ya Kibatala kuomba Mashahidi wanne wasitajwe mahakamani kwa Usalama wao. Hali hii imepelekea Mawakili wa Jamhuri kuomba kesi iarishwe au la sivyo isikilizwe bila kuwepo watu mahakamani.
Je, Mashahidi hao ni waking Nani? Lakini kwa upande mwingine Jamhuri imetoa vielelezo ambapo vielelezo vyote vinatokana na kazi za awali za watuhumiwa wa Kwanza Hadi watatu na hukuna kilipuzi kwenye vielelezo hivyo. Vingi ya vielelezo ni sare za kaxi za Jeshi .
Uoni kwamba JF inatumiwa na watu kuingilia ushaidi /kesi inayoendelea?
Kwa mfano wakikurupuka watu hapa bila kujua na kuwataja huoni kuwa usalama wa watu hao uko hatarini?