Unadhani nani anafaa kumrithi Kassim Majaliwa endapo akiachia nafasi yake?

Mchawi mkubwa we, Majaliwa ajiuzuru kwa kosa lipi?
 
Nakazia hapa,kama issue anatakiwa awe mwanamke basi Mhagama yule mbunge wa peramiho nadhani yuko vizuri tu.

Ila kwa kuwa issue ni team basi tutarajie Dr Emmanuel Nchimbi

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Nchimbi hana sifa yakua waziri Mkuu kwamujibu ya katiba ya jamhuri ya muunga wa Tanzania
 
Takataka hizo
 
Acha ujinga wewe syo mteuzi.
Wacha mteuzi afanye vetting ndo apatikane
 
Nakazia hapa,kama issue anatakiwa awe mwanamke basi Mhagama yule mbunge wa peramiho nadhani yuko vizuri tu.

Ila kwa kuwa issue ni team basi tutarajie Dr Emmanuel Nchimbi

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Nchimbi hawezi kuwa PM kwasababu si mbunge wa kuchaguliwa. Katiba imeweka sifa ya PM lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na si kuteuliwa
 
Antony Mtaka ndio funga kazi,huyo jamaa ni mzalendo na mchapakazi aliyetukuka.
Huyu hana sifa.
Waziri mkuu anatokana mbunge aliyechaguliwa kwenye jimbo
 
Riziwani Kikwete ndo anafaa. Ana hekima, busara na uvumilivu kama mzee Kikwete. Napomuona Riziwani namwona JK.
 
Kama PM Majaliwa inasemwa ataondolewa kwa sababu ya 2025 ndo kile kile Mwigulu anafanya Chini Chini kuelekea 2025.......
 
Wamekulipa sh. ngapi ili kuja kuwapigia pande huku. Umenichekesha kwa Kigwangala
 
Habari ndugu wana jamii wenzangu? Nimepita kwenye mitandao nikakuta taarifa ya kwamba kuna anayepigiwa chapuo la kurithi nafasi ya uwaziri mkuu, hivyo nami nikaona nitoe pendekezo langu kwa kiongozi ninaye onelea kufiti nafasi hiyo.

Kuna mawaziri watatu ambao ni mzigo kwa Taifa hili na bila shaka wanalipwa fadhila kutoka kwa ambao ndiyo mmojawapo wizara anayeiongoza tu imemshinda ila anatajwa kupigiwa chapuo, huyu jamaa atatupeleka pabaya sana!

Mheshimiwa Hussein Bashe ameonyesha juhudi kubwa kwa wizara anayeiongoza ningeshauri na kumuombea Allah amjalie hii nafasi ya uwaziri mkuu. Achana na kile kikosi cha walamba asali.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…