Unadhani nani anafaa kumrithi Kassim Majaliwa endapo akiachia nafasi yake?

Waziri mkuu wa nini tena ? Si yupo anamalizia 2025 na kupumzika na chama Chake ,au mnataka kumtoa kwa mda huu? , hakuna ccm tena from 2025 uchaguzi ukifanyika ,mbona hamtaki kusikia , au Ndo ile mpaka dam zitoke masikioni
 
Tatizo la hii nchi waziri mkuu hana mamlaka kamili ya kuunda na kuendesha serikali, yupo kwenye kivuli cha rais.......katiba mpya ituletee waziri mkuu mwenye mamlaka kamili kiutendaji, siyo geresha.
 
Kwahiyo Bashe anadhaminiwa na Taifa Gas😁

Wakati umefika sasa wa kumroga,ngoja niende kusini mitaa ya luangwa.
 
Bashe abaki wizara ya kilimo lakini kwenye tool ya wizara aongezewe umuhimu maana he is something we dont want to miss there
True Bashe amefiti sana kwenye Kilimo ngojeni mpaka amalize ile ndoto yake ya Kilimo cha umwagiliaji.
 
Alisha, babu!!
 
Ata bashi mwenyewe anapiga hapo kwa wizara, jaribu kusogelea maeneo yake ya ulaji mtakutana mkae kwenye kiti moja.

hatukatazi kupiga,tunajua hamna binaadam asiyepiga.

ila kupiga sana mpaka kuvunja na hubakishi hata tonge mbili ni ushetani.
 
Taifa la Tz haliwezi geuzwa la Somalia.

Watanzania tupo wengi wenye uwezo. Na wala hatupo kwenye Siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…