Unadhani nani anafaa kumrithi Kassim Majaliwa endapo akiachia nafasi yake?

Niwaulize wajameni nani ametangaza nafasi ya Waziri Mkuu iko wazi
 
Msomali aweje waziri mkuu kwenye nchi huru ya Tanzania? Mtoeni Kasimu kwanza tuone!
 
Bashe ni type ya magufuli hafaii kuongoza ,hapo kilimo panamtosha....... kwani ZNZ hawajawai kutoa PM ? Kuna kina Masauni,mbarawa,Vuai Naodha wapo na ni wtendaji wazuri tu
 
NCHI IMEISHIWA KABISA WATU WA KUSHIKA NAFASI HIYO MPAKA MNATAFUTA WAHUNI?
 
Naona Rostam Aziz akizudi kupanga timu yake vizuri ili aikamate Ikulu vizuri.

Ikulu ameishika kupitia remote ya Msoga!

Wizara ya Nishati tayari.

Wizara ya habari Tayari

Sasa anataka waziri mkuu!

Haya bhana!

Alamsikhi!
 
Bashe huyu huyu ambaye kilo ya chenga za mchele imetoka shilingi 700/- mpaka 1900/- au mwengine? Kumbuka hapo hanufaiki mkulima na hilo ongezeko la bei wanao nufaika ni madalali wa mazao. Bashe kashindwa kwenye mnyoyoro wa bei za soko la mazao.
 
Mkuu Lipijema, kwanza naunga mkono Bashe anauweza sana u PM na mimi binafsi, namkubali sana, Wapinzani msione aibu kushirikiana na CCM kwenye hoja zenye maslahi ya Taifa! Bashe ni mzalendo, aungwe mkono na wote!, ila nafasi ya Uwaziri Mkuu haiko wazi! na Waziri Mkuu yupo na bukheri wa afya, sio vema, sio fresh,;sio haki kuijadili nafasi yake, huku ni kama kumchuria fulani.
P
 
Band aiding a leg which needs amputation...
 
Kwani huyu tuliyenaye sasa ana shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…