Unadhani nani anafaa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Serikali Mpya ya Rais Samia Suluhu?

Mbona liko wazi mkuu , Rais Mpya anapoapishwa hawekewi masharti yoyote ya kusomba tu viongozi waliokuwepo , ndio maana hata Magufuli aliondoa asiowataka
Waziri mkuu abaki huyo huyo. Maana ni takataka tu, robot wa kutumwa tumwa.

Sumaye alikuwa kilaza tu lakini hakukuwa na athari kubwa.

Hii itaepusha gharama za kutunza WASTAAFU zisizo na kichwa wala miguu.
 
Ili Rais Samia aweze kuicontrol serikali ni lazima ateue baraza lake yeye mwenyewe, achague watu ambao Ni loyal kwake πŸ’―%, bila hivyo itakuwa ngumu...
 
Kwa huu mfumo mbovu hata wakuteue wewe mkuu hakuna jipya utaleta
 
Majaliwa amejidhihirisha kuwa hafai kuwa kiongozi. Anaongea uwongo wa ajabu. Kwa kweli nimefuta katika kundi la watu makini.

Rais anaumwa, anatuongopeq kuwa eti yupo ofisini anachapa kazi. Hii ilikuwa dhihaka kubwa kwa mgonjwa. Na kama alikuwa akimkejeli mgonjwa.
 
Hakuwa na namna Jambo lile lilipaswa kuwa na utulivu hata kutangazwa rasmi ilifanyika usiku unajua kwanini

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Unafahamu dhana ya kushusha na kupandisha upya bendera ya rais
 
Sawa sawa.Lakini ni jambo ambalo inawezekana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…