Unadhani nani anafaa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Serikali Mpya ya Rais Samia Suluhu?

Aliyepo nadhani anahitaji kukumbushwa kutunza kauli zake (anahita kupigwa msasa) 'retooling and panel beating'. also to take note that a country is not a company
 
Nimelazimika kuendelea kuomba majibu baada ya kuona bado mabadiliko yanahitajika
 
Hakuna Waziri Mkuu mpya, Waziri Mkuu ataendelea kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa, na kazi iliyoanzishwa na Hayati JPM lazima iendelee. Period.
 
Hakuna Waziri Mkuu mpya, Waziri Mkuu ataendelea kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa, na kazi iliyoanzishwa na Hayati JPM lazima iendelee. Period.
Marehemu amefanya mengi , lipi unataka liendelee ?
 
Serikali haitaki kuwa na mawaziri wakuu wastaafu wengi, ni gharama sana kuwahudumia wote.

Kwa hiyo usishangae Majaliwa akiendelea mpaka 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…