Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja.
Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea wapalestina hasa baada ya mauwaji hayo.
Jee Iran irushe makombora kama yale ya mwezi Aprili kulenga maeneo ya Israel au ibadili mbinu kukwepa hasara?
Ni dhahiri kuwa Iran inajua inataka kuongoza mapambano ya kuwatetea wapalestina dhidi ya adui ambaye ana nguvu sana za kivita.Na kwa hivyo itajiandaa vizuri kupiga kwa ufundi mkubwa na kutoa funzo kwa wababe wengine wa dunia.