Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Wee nenda kabusu jiwe huko iwachangia saudi arabia mshiko.Masaa sabini na mbili yameisha Iran kaishia kubweka tuu hajafanya kitu.Nipo hapa Phuket Thailand, waisrael kibao wamekimbia huko na wanasema labda hawatarudi kabisa.
Poleni sana we lini utaenda lala chini ya mwembe unaweza muona Yesu 😄
Ogopa sana mtu aliyekaa kimya anakusubiri.