imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Uisilamu unahimiza Muslims Brotherhood bila hivyo hakuna Uisilamu.Hata Saud Arabia, UAE hawataki kabisa kuwaona hao brotherhood maana ni tishio kwa hizo Falme isipokuwa Qatar pekee.
Saudi Arabia yenyewe haijiweki wazi kuwa ni Islamic State kwasababu ambazo zinajulikana wazi wazi.