Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa uwezo wa allah alie ijalia israel maarifa makubwa sana israeli itawapiga hao makafiri walio ungana mpaka watakapo mtambuwa allah wa kweli alie jitambulisha kwa jina la yehova kwa mababu wa israel huku akijinadi kuwa yeye ni bwana wa vitaSafari hi Iran atafumua mpaa wa Israel watajuta hata kulitamka jina la Iran kwenye midomo yao tena.
Kipigo nikikubwa sana kina kuja na Yemen atatoa dozi pia alijipanga kulipa ya Al Houdaida kimemsimamisha ni hayo mauwaji ya Ismail Al Hania R.I.P
Hao wanapewa amri na Saud Arabia na Saud Arabia ana undugu na Israel haswa viongozi wake 😄Arab Leagie na IOC kama hazipo tena
Mtume Muhammad alisha sema Israel itasambaratishwa hata yaje mataifa matano kama US yamsaidie Israel ni bye bye tu. Sijui taifa gani mtachagua liwe la Mungu wa Paulo badaye 😄kwa uwezo wa allah alie ijalia israel maarifa makubwa sana israeli itawapiga hao makafiri walio ungana mpaka watakapo mtambuwa allah wa kweli alie jitambulisha kwa jina la yehova kwa mababu wa israel huku akijinadi kuwa yeye ni bwana wa vita
Kusambaratika kwa Israel katikati ya ulinzi wa mataifa makubwa itakuwa ndio maajabu mapya ya dunia.Mtume Muhammad alisha sema Israel itasambaratishwa hata yaje mataifa matano kama US yamsaidie Israel ni bye bye tu. Sijui taifa gani mtachagua liwe la Mungu wa Paulo badaye 😄
ahamna chenyewe inaweza fanya!Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja.
Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea wapalestina hasa baada ya mauwaji hayo.
Jee Iran irushe makombora kama yale ya mwezi Aprili kulenga maeneo ya Israel au ibadili mbinu kukwepa hasara?
Ni dhahiri kuwa Iran inajua inataka kuongoza mapambano ya kuwatetea wapalestina dhidi ya adui ambaye ana nguvu sana za kivita.Na kwa hivyo itajiandaa vizuri kupiga kwa ufundi mkubwa na kutoa funzo kwa wababe wengine wa dunia.
mtume wenu 😂😂😂Mtume Muhammad alisha sema Israel itasambaratishwa hata yaje mataifa matano kama US yamsaidie Israel ni bye bye tu. Sijui taifa gani mtachagua liwe la Mungu wa Paulo badaye 😄
Yeye na USA wananguka kwa mpigo mmoja.Kusambaratika kwa Israel katikati ya ulinzi wa mataifa makubwa itakuwa ndio maajabu mapya ya dunia.
Kibinadamu wengi hawajaweza kuliona hilo kuwa liko njiani.
Haya tutaona Paulo na Mtume Muhammad nani ni fake Prophet time will tell.mtume wenu 😂😂😂
huyo mwenyewe ndio chanzo cha uovu bado unaamini??
Biblia inasema “Nae (israel) ataporudi hamna taifa litaloweza kumng’oa”
Huamini tu??Haya tutaona Paulo na Mtume Muhammad nani ni fake Prophet time will tell.
Nyie mna bibilia Injil alikuja nayo Yesu, Paulo. Mateo, Joni, Luka, na Mako hawajawahi hata kumuona Yesu ukinionyesha dalili moja hao walikutana na Yesu za uhakika sio za kuota Shetani. Mtu yuko chini ya mti wa mkuni pale daima ni majoka tu na majoka ni shetani tu ataona Mitume au Malaika subutu 😄Huamini tu??
Tubuni na kuiamini injili
MkuuNyie mna bibilia Injil alikuja nayo Yesu, Paulo. Mateo, Joni, Luka, na Mako hawajawahi hata kumuona Yesu ukinionyesha dalili moja hao walikutana na Yesu za uhakika sio za kuota Shetani. Mtu yuko chini ya mti wa mkuni pale daima ni majoka tu na majoka ni shetani tu ataona Mitume au Malaika subutu 😄
Hebu soma hi nakala nzuri sana
Shambulio linaanza lini? Katika makala nzuri ya Hussein Al-Dirani, anasema:
"Wakati usiku huu ni usiku wa nne ambapo walowezi wa Kizayuni watekaji nyara wanalazimika kujificha kwenye makazi yenye injini za umeme na masanduku ya maji na chakula baada ya kuvamia maduka ya vyakula... wanajiandaa kwa woga na kutetemeka!
Wakati soko la hisa la Marekani na soko la hisa likiwa katika hali duni isiyo na kifani na wataalam wa uchumi wa dunia kutangaza hasara ya dola trilioni 2.9 baada ya tishio la Iran!
Wakati Amerika inalazimika kutumia mamilioni ya dola kusafirisha meli za kivita, ndege kubwa na wapiganaji hadi eneo hilo!
Viwanja vya ndege vya Kizayuni vinapofungwa na safari za ndege kusitishwa moja baada ya nyingine!
Wakati hakuna Mzayuni hata mmoja ambaye yuko tayari kuhamia maeneo yaliyokaliwa ili kukaa!
Wakati, kama wanasema, walowezi zaidi ya 500,000 walipokanyaga katika ardhi hii iliyokaliwa kwa ahadi ya usalama, waliondoka na bado wanaondoka!
Wakati Mossad wanahamisha jengo la kati lenyewe kwa hofu!
Wakati viwanda na bandari zao kupokea amri ya kuacha shughuli zao na kuondoka mzunguko wa shughuli na uzalishaji!
Wakati nchi kadhaa zinaingilia kati kwa njia ya kufedhehesha kusimamisha hatua zinazofuata za kulipiza kisasi za Irani, haiwezekani, Mungu akipenda.
🔴 Shambulio limeanza kabla halijaanza, na kinachoendelea ni sehemu ya vita.. Hebu jifikirie (uko wapi?)!!"
Ungemshauri US huo ushauri ungemfaa sana, kuliko kutafuta shari anatoka wapi kuja hangaika middle east.Ushauri wa Medvedev ni ushauri sahihi japo siyo mzuri. Tatizo ni kuhimili the results
Huyo sio mtu wa kuamini hata kidogo, alidanganya watu kwamba Mungu eti alimtelemshia msaafu huku madhaifu yake yote akiyahalalisha kwamba Mungu ameyakubali...😲😲😲Mtume Muhammad alisha sema Israel itasambaratishwa hata yaje mataifa matano kama US yamsaidie Israel ni bye bye tu. Sijui taifa gani mtachagua liwe la Mungu wa Paulo badaye 😄
Wasijaribu hata kukariBia maeneowaliyo hifàdhi Silaha za mangamiziMarekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja.
Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea wapalestina hasa baada ya mauwaji hayo.
Jee Iran irushe makombora kama yale ya mwezi Aprili kulenga maeneo ya Israel au ibadili mbinu kukwepa hasara?
Ni dhahiri kuwa Iran inajua inataka kuongoza mapambano ya kuwatetea wapalestina dhidi ya adui ambaye ana nguvu sana za kivita.Na kwa hivyo itajiandaa vizuri kupiga kwa ufundi mkubwa na kutoa funzo kwa wababe wengine wa dunia.
Wasikaribie maeneo Yao walio hifandi Silaha za mangamizi sababu Yahudi anawaona na Ameapa!;Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja.
Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea wapalestina hasa baada ya mauwaji hayo.
Jee Iran irushe makombora kama yale ya mwezi Aprili kulenga maeneo ya Israel au ibadili mbinu kukwepa hasara?
Ni dhahiri kuwa Iran inajua inataka kuongoza mapambano ya kuwatetea wapalestina dhidi ya adui ambaye ana nguvu sana za kivita.Na kwa hivyo itajiandaa vizuri kupiga kwa ufundi mkubwa na kutoa funzo kwa wababe wengine wa dunia.
Kajiunge naeMarekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja.
Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea wapalestina hasa baada ya mauwaji hayo.
Jee Iran irushe makombora kama yale ya mwezi Aprili kulenga maeneo ya Israel au ibadili mbinu kukwepa hasara?
Ni dhahiri kuwa Iran inajua inataka kuongoza mapambano ya kuwatetea wapalestina dhidi ya adui ambaye ana nguvu sana za kivita.Na kwa hivyo itajiandaa vizuri kupiga kwa ufundi mkubwa na kutoa funzo kwa wababe wengine wa dunia.
Iran amebonywezwa kabonyezeka wanamsubiri kny 18Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja.
Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea wapalestina hasa baada ya mauwaji hayo.
Jee Iran irushe makombora kama yale ya mwezi Aprili kulenga maeneo ya Israel au ibadili mbinu kukwepa hasara?
Ni dhahiri kuwa Iran inajua inataka kuongoza mapambano ya kuwatetea wapalestina dhidi ya adui ambaye ana nguvu sana za kivita.Na kwa hivyo itajiandaa vizuri kupiga kwa ufundi mkubwa na kutoa funzo kwa wababe wengine wa dunia.
Allahuma AmiiinKwa uwezo wa Allah aliyetukuka hili linatokea safari hii na itakuwa ni mshtuko wa dunia.