ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Waache ku support ugaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwana Mfalme wa Saudi Arabia alisema wazi kuwa hana muda wa kuitetea wala Palestina na akasema Wapalestina wapambane na hali zaoItulie tuli kama maji kwenye mtungi.
Mbona Saudi Arabia hana hizi mbambamba ?
Ukisema 'secular' nadhani unamaanisha pro-western government....
Hakuna haja ya kutunisha misuli itaumiza watu wake zaidi.Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja.
Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea wapalestina hasa baada ya mauwaji hayo.
Jee Iran irushe makombora kama yale ya mwezi Aprili kulenga maeneo ya Israel au ibadili mbinu kukwepa hasara?
Ni dhahiri kuwa Iran inajua inataka kuongoza mapambano ya kuwatetea wapalestina dhidi ya adui ambaye ana nguvu sana za kivita.Na kwa hivyo itajiandaa vizuri kupiga kwa ufundi mkubwa na kutoa funzo kwa wababe wengine wa dunia.
Hoja iliyoficha ukweli na uwezo thabiti wa nani ni nani!Hakuna haja ya kutunisha misuli itaumiza watu wake zaidi.
Unaeshindana nae Ukubwa wake ni kama Wilaya ya Hai,wamechimba mahandaki Kila mtaa watu wao kujihifadhi.
Wewe Nchi Yako ni kubwa Tanzania mara 2 ,Kwa hili hii unadhani wapi ni rahisi ku manage?
Licha ya Kanchi kuwa kadogo, uchumi wake ni mkubwa kuliko wa Iran.
On top of that Kana sapoti ya Nchi zilizo na Uchumi mkubwa eg USA ,Europe nk .
Kwa hiyo umefurahi na mimi naongeza isreli alishinda juzi maana aliharibu viju vya nuclear aliharibu kiwanda cha silaha na itachukuua miaka 200 kuweza kukirejesha katika hali yakeKwenye bandiko lako umekiri vitu vitatu either kwa kujua au kutojua.
Umetambua kuwa Israel ina zana bora za kivita na n nguvu za kivita;
Umekiri kwamba Iran ilipata hasara na pia umekiri kwamba mbinu waliyoitumia hapo awali hakikuzaa mafanikio.
Hongera sana
Lakin wew huoni huyu mwenye vikwazo na asiyepewa msaada amefanikiwa kuliko huu mtegemezi .unashundanaje mtegemezi na anayetigemea kwa wataalam wakeHakuna haja ya kutunisha misuli itaumiza watu wake zaidi.
Unaeshindana nae Ukubwa wake ni kama Wilaya ya Hai,wamechimba mahandaki Kila mtaa watu wao kujihifadhi.
Wewe Nchi Yako ni kubwa Tanzania mara 2 ,Kwa hili hii unadhani wapi ni rahisi ku manage?
Licha ya Kanchi kuwa kadogo, uchumi wake ni mkubwa kuliko wa Iran.
On top of that Kana sapoti ya Nchi zilizo na Uchumi mkubwa eg USA ,Europe nk .
Kwa hiyo we uliyosoma HGE ndo unaelewa kuliko wao wano yatengeneza na kuyarusha ..mbona awamu ya pili hawakuweza kuzuia .ni kuambie tu unachofaham wew kuhusu hizo program ni 0.000001%Chakufanya Iran ahakikishe kwanza amejidhatiti kwa mifumo ya ulinzi wa anga katika maneno yote sensitive, cha pili afanye utafiti wa kina kwamba ni aina gani ya makombora ambayo hayawezi kuzuiwa na mifumo ya ulinzi ya adui pia afahamu kwamba kadiri kombora linavyosafiri kwa umbali mrefu ndivyo uwezekano wa kudunguliwa unakuwa mkubwa
Na ujio wa brics+ ndo utachagiza hilo ..kwa sasa suction kwa Iran atapa relief kufanya biashara mbali mbalia na mataifa makubwa kama South Africa..China..India na Brazil na Russia bila kikwazoYeye na USA wananguka kwa mpigo mmoja.
Nchi inavyokuwa ndogo ndo inakuwa more vulnerable mmana athari za shambulio lolote lazima kila mtu aliweze kulisikia kikamilifu si uliona octoba mosi mpaka Netanyahu alianza kukimbia hivyo na hiyo ni mabomu 200 tu ..zikipigwa 800 itakuwaje unafikiriHakuna haja ya kutunisha misuli itaumiza watu wake zaidi.