Jamani biblia haisomwi hivyo, jaribu kuelewa context nzima ya hizo sura na mistari. Inawezekana una hoja ila, ijenge vizuri. Otherwise, utajipotosha na kupotosha wengine.
Lakini pia, Mungu wetu wakristo tunayemwamini hatetewi na mtu bali anajitetea mwenyewe na kulitetea jina lake. Sina uhakika na Mohamed SAW maana mnamtetea utafikiri yeye hawezi. Mwacheni ajitetee mwenyewe na kulitetea jina lake.
Mwisho. Vita haina mshindi, no matter what everyone loses. Mi naendelea kuomba kusitokee full scale war.