Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

Itulie tuli kama maji kwenye mtungi.

Mbona Saudi Arabia hana hizi mbambamba ?
Mwana Mfalme wa Saudi Arabia alisema wazi kuwa hana muda wa kuitetea wala Palestina na akasema Wapalestina wapambane na hali zao
 
Hakuna haja ya kutunisha misuli itaumiza watu wake zaidi.

Unaeshindana nae Ukubwa wake ni kama Wilaya ya Hai,wamechimba mahandaki Kila mtaa watu wao kujihifadhi.

Wewe Nchi Yako ni kubwa Tanzania mara 2 ,Kwa hili hii unadhani wapi ni rahisi ku manage?

Licha ya Kanchi kuwa kadogo, uchumi wake ni mkubwa kuliko wa Iran.

On top of that Kana sapoti ya Nchi zilizo na Uchumi mkubwa eg USA ,Europe nk .
 
Hoja iliyoficha ukweli na uwezo thabiti wa nani ni nani!


Heko mkuu
 
Kwa hiyo umefurahi na mimi naongeza isreli alishinda juzi maana aliharibu viju vya nuclear aliharibu kiwanda cha silaha na itachukuua miaka 200 kuweza kukirejesha katika hali yake
 
Lakin wew huoni huyu mwenye vikwazo na asiyepewa msaada amefanikiwa kuliko huu mtegemezi .unashundanaje mtegemezi na anayetigemea kwa wataalam wake
 
Kwa hiyo we uliyosoma HGE ndo unaelewa kuliko wao wano yatengeneza na kuyarusha ..mbona awamu ya pili hawakuweza kuzuia .ni kuambie tu unachofaham wew kuhusu hizo program ni 0.000001%
 
Yeye na USA wananguka kwa mpigo mmoja.
Na ujio wa brics+ ndo utachagiza hilo ..kwa sasa suction kwa Iran atapa relief kufanya biashara mbali mbalia na mataifa makubwa kama South Africa..China..India na Brazil na Russia bila kikwazo
 
Nchi inavyokuwa ndogo ndo inakuwa more vulnerable mmana athari za shambulio lolote lazima kila mtu aliweze kulisikia kikamilifu si uliona octoba mosi mpaka Netanyahu alianza kukimbia hivyo na hiyo ni mabomu 200 tu ..zikipigwa 800 itakuwaje unafikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…